KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake?
Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!,
Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa unakuwa unaenda kwenye kioo unajiangalia halafu unaongea peke yako!
Mapenzi kiboko mimi sio wakushindwa kula ugali!