Hivi mpenzi wako akikuacha bila taarifa ndo anakuwa anamaanisha nini?

Hivi mpenzi wako akikuacha bila taarifa ndo anakuwa anamaanisha nini?

Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lkn ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake..?!!

natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!, Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa unakuwa unaenda kwenye kioo unajiangalia halafu unaongea peke yako!.
Mapenzi kiboko mimi sio wakushindwa kula ugali!
anakuweka pending, atakurudia kwa kujiliza
 
Dem mwenyewe ss alivyowapangaa ,alafu akukudanganga n wako pekee yakoo...

Ni huzunii
FB_IMG_1728237164858.jpg
 
Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake?

Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!,

Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa unakuwa unaenda kwenye kioo unajiangalia halafu unaongea peke yako!

Mapenzi kiboko mimi sio wakushindwa kula ugali!
Na Bando!
 
Hivi mnafanyiwa vitu gani hadi mnapenda kasi hicho?

Always kaa kimaster. Mimi demu wetu ame'confess tangu ameanza kudate hajawahi kukutana na mtu mhuni kama mimi, nampiga matukio kweli kweli. Mwanzo alianza kuleta jeuri za kipuuzi.
 
Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake?

Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!,

Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa unakuwa unaenda kwenye kioo unajiangalia halafu unaongea peke yako!

Mapenzi kiboko mimi sio wakushindwa kula ugali!
Mzee wa matukio!
 
Kuachwa ni Jambo zuri ukilinganishwa na kufanyiwa maigizo na unafiki na kuitwa mpumbafu mbele ya rafiki zake.

Kwa kifupi AMETOA nafasi Ili aliye Bora zaidi yake aingie. At all Kama na wewe ni Bora .

Ushauri.
1. Shukuru MUNGU.
2. Jitathimini Kama kweli kuna thamani uliongeza kwake.
3. Aliye Bora zaidi yake yupo na anakusibiri. Nikague na ujisahihishe.
SI RAHISI MTU AACHE KILICHO BORA ZAIDI.
Usilie lie. Bali chunguza umepata funzo GANI Ili kesho uwe Bora zaidi na usiachwe tena.

Nakutakia KILa la kheri.
 
Back
Top Bottom