Hivi mpenzi wako akikuacha bila taarifa ndo anakuwa anamaanisha nini?

Hivi mpenzi wako akikuacha bila taarifa ndo anakuwa anamaanisha nini?

Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake?

Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!,

Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa unakuwa unaenda kwenye kioo unajiangalia halafu unaongea peke yako!

Mapenzi kiboko mimi sio wakushindwa kula ugali!
Ugali unapunguza akili kaka jaribu japo chapati Kila siku na maharage yakutosha na ndizi yako mbili daily utamsahau uyu bibie na utafika mbali🥴
 
Taratibu kila mtu lazima achanganyikiwe ni suala la muda tu
 
Komwe, kimekukuta kitu! Woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake?

Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!,

Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa unakuwa unaenda kwenye kioo unajiangalia halafu unaongea peke yako!

Mapenzi kiboko mimi sio wakushindwa kula ugali!
Anakua Kakuacha tu

Unataka taarifa gani sasa?
 
Kuachwa ni Jambo zuri ukilinganishwa na kufanyiwa maigizo na unafiki na kuitwa mpumbafu mbele ya rafiki zake.

Kwa kifupi AMETOA nafasi Ili aliye Bora zaidi yake aingie. At all Kama na wewe ni Bora .

Ushauri.
1. Shukuru MUNGU.
2. Jitathimini Kama kweli kuna thamani uliongeza kwake.
3. Aliye Bora zaidi yake yupo na anakusibiri. Nikague na ujisahihishe.
SI RAHISI MTU AACHE KILICHO BORA ZAIDI.
Usilie lie. Bali chunguza umepata funzo GANI Ili kesho uwe Bora zaidi na usiachwe tena.

Nakutakia KILa la kheri.
Naam hii positive gratitude, akiweka kwa akili hii wala hato teseka, why sababu ata move on faster and itampa muda wa kujirekebisha

Lakin pia atabaki na moyo mweupe, then with time yule sahihi atakuja kwenye maisha yake
 
Back
Top Bottom