Hivi mpenzi wako akikuacha bila taarifa ndo anakuwa anamaanisha nini?

anakuweka pending, atakurudia kwa kujiliza
 
Na Bando!
 
Hivi mnafanyiwa vitu gani hadi mnapenda kasi hicho?

Always kaa kimaster. Mimi demu wetu ame'confess tangu ameanza kudate hajawahi kukutana na mtu mhuni kama mimi, nampiga matukio kweli kweli. Mwanzo alianza kuleta jeuri za kipuuzi.
 
Mzee wa matukio!
 
Kuachwa ni Jambo zuri ukilinganishwa na kufanyiwa maigizo na unafiki na kuitwa mpumbafu mbele ya rafiki zake.

Kwa kifupi AMETOA nafasi Ili aliye Bora zaidi yake aingie. At all Kama na wewe ni Bora .

Ushauri.
1. Shukuru MUNGU.
2. Jitathimini Kama kweli kuna thamani uliongeza kwake.
3. Aliye Bora zaidi yake yupo na anakusibiri. Nikague na ujisahihishe.
SI RAHISI MTU AACHE KILICHO BORA ZAIDI.
Usilie lie. Bali chunguza umepata funzo GANI Ili kesho uwe Bora zaidi na usiachwe tena.

Nakutakia KILa la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…