Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli uogopi kutuambia lakini tukikupa ushauri utupi mrejesho.sio mimi,kama nina tatizo humu jf siogopagi kusema kuwa ni mimi.kwan nani ananijua mpaka nimuogope?
kublockiwa maana yake jamaa ni msumbufu
kuwa msumaufu maana yake umechokwa
kuchokwa maana yake hutakiwi
kutotakiwa maana yake tafuta mwingine
Na 4. Akufukuzae hakuambii toka1.Panapofuka Moshi pana moto.
2.Dalili ya mvua ni mawingu.
3.Fimbo ya mbali haiui nyoka .
Hvi mtakua lini?Nimeongea na pande zote mbili,nimewasuluhisha,na wamerudiana.so thread closed
Nimeongea na pande zote mbili,nimewasuluhisha,na wamerudiana.so thread closed