Hivi mpenzi wako akikublock namba yako ndio inamaanisha nini?

Hivi mpenzi wako akikublock namba yako ndio inamaanisha nini?

kublockiwa maana yake jamaa ni msumbufu
kuwa msumaufu maana yake umechokwa
kuchokwa maana yake hutakiwi
kutotakiwa maana yake tafuta mwingine
hahahahahahhahahahah, we jamaa una majibu ya aina yakooo!!! Hu hu hu hu
 
Anamaanisha hataki kusikia toka kwako, siku akitaka kusikia tena toka kwako ataondoka hiyo block aliyokuwekea.
 
Back to business, oya mwambie huyo msela wako asijitie uchizi wa kuhisi yupo ufilipino hii ni bongo aisee, hapo kwa shemeji shughuli hamna tena. Kashapigwa redundancy hivyo atafute ajira sehemu nyengine!!!
 
kublockiwa maana yake jamaa ni msumbufu
kuwa msumaufu maana yake umechokwa
kuchokwa maana yake hutakiwi
kutotakiwa maana yake tafuta mwingine
Na kuyaweka haya yoote pamoja na yakaeleweka kwa urahisi kabisa, ni kwamba sasa hivi anakuona wewe ni mwanaume UCHWARA tu.
 
kublockiwa maana yake jamaa ni msumbufu
kuwa msumaufu maana yake umechokwa
kuchokwa maana yake hutakiwi
kutotakiwa maana yake tafuta mwingine
Tafuta mwingine maaana yake, kuwa na goma jipya, goma jipya maana yake ...........
 
Makkonda akisema "wanaume wote watoke mbele" wee baki!
 
Ukiona upo/ unafanya mambo haya, ujue unaigiza hollywood, yaani hakuna uhalisia.
1. Upo mtaani, mpenzi yupo chuo/sekondari.
2. Upo Shinyanga, mpenzi Dar.
3.Upo chuo A na mpenzi chuo B.
4.Upo bongo mpenzi nje ya nchi.
Pamoja na hayo wachache huwa wanafanikiwa na wengi huwa wanaishia kulia na kusaga meno.
Hata hao wanaofanikiwa, wengine wana mazito moyoni sema tu ni kwa vile wana mioyo ya uvumilivu.
Huyo jamaa yako mwambie avute muda kidogo akiona demu bado kamblock, ajue kabisa kuna mtu anamliwaza, kwa hiyo atumie udikteta uchwara kumrejesha himayani.
Japokuwa itauma lakini haina jinsi.
 
Back
Top Bottom