Hivi mpenzi wako akikuuliza “Una lengo gani na mimi” unamjibuje?

Hivi mpenzi wako akikuuliza “Una lengo gani na mimi” unamjibuje?

Ukiona hivyo jua tu kuwa kuna Mwamba mwingne anajipigia na yuko serious na huyo fame na kuna mavitu amemuahidi.

Kwahiyo fame yuko njia panda . Anataka kusikia kutoka kwako, sera zako na malengo yako kwake. Ili aamue.

Jinsi ya kumjibu , ni juu yako.
Nisaidie sasa cha kumjibu,me sina malengo nae yoyote ,ila nataka niendelee kumpiga pipe tu.
 
Amepata mtu mwingine tayari, hapo anatafuta uhakika wa kuendelea na wewe au akukatae. Usiumize kichwa.

Mwanamke hawezi kukuuliza hilo swali kama bado anakuhitaji au mpo safari moja,huwa wanauliza kama amepata mtu mwingine na anampango wa kutemana na wewe ili akaanze na mtu mpya.

Hiyo kukuuliza ni anataka ushahidi tu kuwa hakukuacha kwa makusudi anataka ionekane alikuuliza maswali ya msingi akakukuta off guard ukampa majibu yaliyompa sababu ya kuanza mahusiano na mtu mwingine.
 
Nisaidie sasa cha kumjibu,me sina malengo nae yoyote ,ila nataka niendelee kumpiga pipe tu.
😊😊😊.
kwakuwa swali ni mtego.
Kuwa neutral kwenye kujibu.

Unaweza ukasema siwez kukujibu moja kwa moja kwasababu kwa sasa mnaendelea kufahamiana kwa undani zaidi ili kujenga misingi imara ya hatua kubwa huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom