Hivi mpenzi wako akikuuliza “Una lengo gani na mimi” unamjibuje?

Hivi mpenzi wako akikuuliza “Una lengo gani na mimi” unamjibuje?

Habari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...

Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.

Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
Enzi, hizo nikiwa, Gen Z, nilikuwa, nawajibu, nakukula msambwanda mpaka nichoke!
 
Ndio nilitaka kunwambia kua,Mwanaume anayejielewa husema ukweli hasa kwenye jambo linalohusu maisha ya mtu mwingine,

Kwanza mleta mada wala hukutakiwa kuja kuuliza swali kama hili hapa coz jibu lake hata mtoto mdogo tu analijua.
Anataka mumfundishe uongo,akamdanganye mtoto wa watu,

Aisee Bora kuambiwa ukweli kuliko kudanganywa.
 
Peleka chumbani piga miti kwanza, utamjibu siku nyingine
 
Habari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...

Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.

Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
Nina lengo la kukuchapa na ukuni tu mpaka nichoke
 
unachezea kilichochezewa huyo manzi aliyeuliza hilo swali jibu analo tayar ila hataki kuukabili ukweli matendo yanazungumza kuliko maneno ukikubali kuchezewa unachezewa
Kuna faida gani kuchezea kilichochezewa ?

Wanaume hua mnajisifia ku fvck fvck hovyo mkidhani ni sifa

Mwanaume anaetambua thamani yake na kulinda mwili wake hawezi kuvua nguo na kuchovya kwenye kila tundu
 
hakuna faida maana hakuna tuzo za ku fvck ovyo
Ni kweli mwanaume anatakiwa kuulinda mwili wake lakin nyoka hachaguwi shimo la kuigia
 
Muulize kwani yeye ana malengo gani na wewe, jibu atakalokupa limodify kidogo tu mrudishie.
 
Habari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...

Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.

Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
Kiumbe yeyote wa kuitwa mwanamke ANAPENDA KUDANGANYWA!... Jichanganye umwambie ukweli!
 
Habari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...

Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.

Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
Mbona swali rahisi tu hilo?
ANATAKA KUJUA KAMA UNA LENGO LA KUMUOA au unamchezea tu
 
Back
Top Bottom