Hivi mpenzi wako akikuuliza “Una lengo gani na mimi” unamjibuje?

Hivi mpenzi wako akikuuliza “Una lengo gani na mimi” unamjibuje?

1.nipunguze upwiru kupitia k Yako
2.nikupe furaha ya muda mfupi
3.nikufundishe usafi wa ndani

Hapo utakuwa umecheza kama Pele Kwa majibu hayo achomoi
 
Amepata mtu mwingine tayari, hapo anatafuta uhakika wa kuendelea na wewe au akukatae. Usiumize kichwa.

Mwanamke hawezi kukuuliza hilo swali kama bado anakuhitaji au mpo safari moja,huwa wanauliza kama amepata mtu mwingine na anampango wa kutemana na wewe ili akaanze na mtu mpya.

Hiyo kukuuliza ni anataka ushahidi tu kuwa hakukuacha kwa makusudi anataka ionekane alikuuliza maswali ya msingi akakukuta off guard ukampa majibu yaliyompa sababu ya kuanza mahusiano na mtu mwingine.
Over
 
Back
Top Bottom