JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Enzi, hizo nikiwa, Gen Z, nilikuwa, nawajibu, nakukula msambwanda mpaka nichoke!Habari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...
Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.
Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
Anataka mumfundishe uongo,akamdanganye mtoto wa watu,Ndio nilitaka kunwambia kua,Mwanaume anayejielewa husema ukweli hasa kwenye jambo linalohusu maisha ya mtu mwingine,
Kwanza mleta mada wala hukutakiwa kuja kuuliza swali kama hili hapa coz jibu lake hata mtoto mdogo tu analijua.
Hivi hua mnajisikiaje kufanya upuuzi na kuchezea hisia za wengineNisaidie sasa cha kumjibu,me sina malengo nae yoyote ,ila nataka niendelee kumpiga pipe tu.
Sasa kakutana nae mazingira gani mpaka aje kutuuliza hapa na msipodanganywa hamliwi haujaona Simba anasota kumvizia swala bila kusota ampati..Nyie wanaume ni wabongo sana,
Sasa adanganye kisa kumla tu!?
Aisee,Sasa kakutana nae mazingira gani mpaka aje kutuuliza hapa na msipodanganywa hamliwi haujaona Simba anasota kumvizia swala bila kusota ampati..
Nina lengo la kukuchapa na ukuni tu mpaka nichokeHabari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...
Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.
Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
unachezea kilichochezewa huyo manzi aliyeuliza hilo swali jibu analo tayar ila hataki kuukabili ukweli matendo yanazungumza kuliko maneno ukikubali kuchezewa unachezewaHivi hua mnajisikiaje kufanya upuuzi na kuchezea hisia za wengine
So hapo mwenyewe unaona sifa ?
Kuna faida gani kuchezea kilichochezewa ?unachezea kilichochezewa huyo manzi aliyeuliza hilo swali jibu analo tayar ila hataki kuukabili ukweli matendo yanazungumza kuliko maneno ukikubali kuchezewa unachezewa
hakuna faida maana hakuna tuzo za ku fvck ovyoKuna faida gani kuchezea kilichochezewa ?
Wanaume hua mnajisifia ku fvck fvck hovyo mkidhani ni sifa
Mwanaume anaetambua thamani yake na kulinda mwili wake hawezi kuvua nguo na kuchovya kwenye kila tundu
Siku nyoka atakutana na nguchiro ndio mwisho wake I'm outhakuna faida maana hakuna tuzo za ku fvck ovyo
Ni kweli mwanaume anatakiwa kuulinda mwili wake lakin nyoka hachaguwi shimo la kuigia
Aisee.Kuna faida gani kuchezea kilichochezewa ?
Wanaume hua mnajisifia ku fvck fvck hovyo mkidhani ni sifa
Mwanaume anaetambua thamani yake na kulinda mwili wake hawezi kuvua nguo na kuchovya kwenye kila tundu
Kiumbe yeyote wa kuitwa mwanamke ANAPENDA KUDANGANYWA!... Jichanganye umwambie ukweli!Habari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...
Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.
Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
Ndo mkome kuvamiavamia hovyo!
Mbona swali rahisi tu hilo?Habari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...
Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.
Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?