Hivi mpenzi wako kama ni mwanga/mchawi anaweza kuja kwako night kukufumania?

Hivi mpenzi wako kama ni mwanga/mchawi anaweza kuja kwako night kukufumania?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Habarini za asubuhi,

Inawezekama mpenzi wako kama ni mwanga kuja kwako night akakukuta na mwanamke mwingine, kesho yako akakasirika au kukuwashia moto au kufanya jambo lolote mpenzi analoweza kufanya akimfumania mwenzi wake?

Maana si ana uhakika na alichokiona?

Au akija anakuona wewe pekee manzi jirani hapo kitandani hamuoni?

Au memory pakishakucha inakata anakuwa hakumbuki chochote?

Je, anaweza kukuongelesha akija night?

Naomba kujuzwa.
Muwe na siku njema.
 
Hawezi maana uchawi bongo ni jambo la Siri, Sasa utaka aseme alikuona na mwanamke kitandani usiku ili umjue kuwa ni mchawi? Nyie (wewe na huyo ulikuwa nae wakati wa fumanizi) jiandaeni Kurogwa kimya kimya
 
Muulize huyo mchawi wako 🤪

Sisi hatuna experience za kudate wanga/ wachawi.
Sister siamini kama ungenijibu ivo 🥹🥹😅 mwenzako nimekabwa na kuhojiwa ndotoni😂😂😂
 
Hawezi maana uchawi bongo ni jambo la Siri, Sasa utaka aseme alikuona na mwanamke kitandani usiku ili umjue kuwa ni mchawi? Nyie (wewe na huyo ulikuwa nae wakati wa fumanizi) jiandaeni Kurogwa kimya kimya
Mkuu unanitisha sasa asije kuharibu dhakari😞
 
Ndio inawezekana wengine ufikia hatua kuingilia katika kufanya mapenzi naye anavua kuunga juhudi.

Inakua ni “mtungo” na wachawi wengi wana enjoy hii kitu. Wanapata uimara zaidi na nguvu.
Kweli wewe tajiri kichwa KIBOVU yaani inakuwa threesome 🥰🥰 mi kanikaba na kunihoji🤣🤣
 
Back
Top Bottom