EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #21
Bro hayajakukuta bado endelea kutukana😅😅😅😅Kuamini ushirikina karne hii ni uzwazwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro hayajakukuta bado endelea kutukana😅😅😅😅Kuamini ushirikina karne hii ni uzwazwa.
Asante kwa kuniitia WANAJIM
Mkuu nimehojiwa sa10 alfajiri japo sikuwa na manzi😅😅Interesting
Nani mimi au yeye?🤔🤔Anafanya meditation?
Acha uoga piga chini anayozidi kuishi na wewe lazima tu uje kuwa mchawi. Atakulisha dawa utasahau hadi ndugu zako. Mwanamke mchawi au mshirikina sio wa kumchekea au kuuliza. Nina rafiki yangu baba yake mzazi anataka kumtoa sadaka kichawi huu mwaka wa kumi anapambana nae ni mateso makubwa. Ile kasi kauzia wachawi wenzake basi kila kukicha huko nyumbani ni tafrani kabisa. .Mmmh mkuu unanitisha sasa,
Naweza kumuacha? Maana staki kufika huko
Aisee huyu ni wakupiga chini kwanza ni mchepuko tu kama mamaJ wa DeepPond 😅😅😅😅 si unajua nimeacha familia Dar na nipo Dodoma huyu mbena asinisumbue maana ananikaba sana night🤣🤣🤣🤣Acha uoga piga chini anayozidi kuishi na wewe lazima tu uje kuwa mchawi. Atakulisha dawa utasahau hadi ndugu zako. Mwanamke mchawi au mshirikina sio wa kumchekea au kuuliza. Nina rafiki yangu baba yake mzazi anataka kumtoa sadaka kichawi huu mwaka wa kumi anapambana nae ni mateso makubwa. Ile kasi kauzia wachawi wenzake basi kila kukicha huko nyumbani ni tafrani kabisa. .
Formula ni moja tu kaa mbali na wachawi. Nina rafiki yang mwingine mke wake alikuwa anamloga eti asifanikiwe. Baada ya kuja kumwacha ndio kajua kupitia rafiki zake na kweli kazi ana nzuri na hela zinakuja sasa.
😅😅😅😅😅Kama ni popobawa uyo mchepuko wako atakiona cha baridi ya njombe
Wachawi wa bongo hawataki maendeleo na hawana roho ya maendeleo. Wangekuwa watu wa maendeleo basi Africa tungekuwa mbali kweli. Kazi zao ni kurudisha wenzao nyuma ndio maana mikoa ya kichawi kama Lindi, Pwani, Sumbawanga maendelo yanapita kwa kasi ndogo sana.Aisee huyu ni wakupiga chini kwanza ni mchepuko tu kama mamaJ wa DeepPond 😅😅😅😅 si unajua nimeacha familia Dar na nipo Dodoma huyu mbena asinisumbue maana ananikaba sana night🤣🤣🤣🤣
Bro saivi kila weekend bora nichome nauli niende Dar huyu ataniua na kabari za usiku maana duh😅😅Wachawi wa bongo hawataki maendeleo na hawana roho ya maendeleo. Wangekuwa watu wa maendeleo basi Africa tungekuwa mbali kweli. Kazi zao ni kurudisha wenzao nyuma ndio maana mikoa ya kichawi kama Lindi, Pwani, Sumbawanga maendelo yanapita kwa kasi ndogo sana.
Usijiushishe kabisa na wachawi na mchunguze pweza kabla hujamla, ukiona haliki achana nae mbona mademu wako wengi sana. Au nyege zikizidi ukaribie kwenye kile chama cha kujichukulia sheria mkononi hakijawahi kuwa na shida 😬
Hahahah ngoja ujiunge na chama chao ili uwatafune vizuri 🤣Bro saivi kila weekend bora nichome nauli niende Dar huyu ataniua na kabari za usiku maana duh😅😅
😅😅😅😅😅 hapana sijiungi aiseeHahahah ngoja ujiunge na chama chao ili uwatafune vizuri 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 wenzako waenda kuwanga wewe unawaza kuwatafuna ila wakikugundua watakufukuza maana wanajua umeend kuwala tu
Kule kuna mademu kibao uchi 😬😅😅😅😅😅 hapana sijiungi aisee
Sasa huy kanikaba alfajiri na kunihoji mawali yaliyopelekea kuhisi ni mpenzi angu tu maana kila anachouliza ni kile nimfanya nae tuHaiwezikani maana ataishia kuumbuka, bongo uchawi ni siri tofauti na Ulaya sio siri. Zaidi ataishia kuumia kufa nalo moyoni au akuloge.
Ndio inawezekana wengine ufikia hatua kuingilia katika kufanya mapenzi naye anavua kuunga juhudi.
Inakua ni “mtungo” na wachawi wengi wana enjoy hii kitu. Wanapata uimara zaidi na nguvu.
Wee acha kunivutia dhambini🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kule kuna mademu kibao uchi 😬
😬 😬 😬 😬 😬
Achana nae kimbia huyo mwangaSasa huy kanikaba alfajiri na kunihoji mawali yaliyopelekea kuhisi ni mpenzi angu tu maana kila anachouliza ni kile nimfanya nae tu
Mr wise the Einstein hataki dhambiiii 🤣Wee acha kunivutia dhambini🤣🤣🤣🤣🤣🤣