Hivi mpenzi wako kama ni mwanga/mchawi anaweza kuja kwako night kukufumania?

Hivi mpenzi wako kama ni mwanga/mchawi anaweza kuja kwako night kukufumania?

Onyo kwa wanawake mpendao kulala chali mguu pande uchi usiku ipumue ni hatari akipita jini au mchawi lazima akuingilie maana nature ile kitu inasumaku,funika mwili wako ulalapo, usijiingiliwa na mapepo usiku.
Hili onyo limfikie sister Depal popole pale alipo
 
Bro hayajakukuta bado endelea kutukana😅😅😅😅

Hayawezi kunikuta sababu hayapo. Hata wewe hayawezi kukuta na hamna mtu anayeweza kuthibitisha pasi na shaka kukutwa na ushirikina. Story zote za ushirikina ni story za hearsay au imani bila reasoning yeyote ile.
 
Mchawi anaweza kuingia kama mbu na anakuchora bila wewe kujua. Ataishia kukununia ila hatakuambia kama alikuona. Ila atapambana na huyo mchepuko kwa kumloga. Ulishasikia mwanamke kavuja damu mpaka kifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayawezi kunikuta sababu hayapo. Hata wewe hayawezi kukuta na hamna mtu anayeweza kuthibitisha pasi na shaka kukutwa na ushirikina. Story zote za ushirikina ni story za hearsay au imani bila reasoning yeyote ile.
Ngoja leo aje nimpe jina tu akuamshie moto usiku mzima ila USIMPAUE ni shemeji yako
 
Kwani uyo manzi mchawi yeye anaseamje??
Habarini za asubuhi,

Inawezekama mpenzi wako kama ni mwanga kuja kwako night akakukuta na mwanamke mwingine, kesho yako akakasirika au kukuwashia moto au kufanya jambo lolote mpenzi analoweza kufanya akimfumania mwenzi wake?

Maana si ana uhakika na alichokiona?

Au akija anakuona wewe pekee manzi jirani hapo kitandani hamuoni?

Au memory pakishakucha inakata anakuwa hakumbuki chochote?

Je, anaweza kukuongelesha akija night?

Naomba kujuzwa.
Muwe na siku njema.
 
Back
Top Bottom