Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Mkuu EINSTEIN112 nenda kwenye huu uzi kwenye hii link, niliahidi kutoa laki5 kwa yeyote atayenipa jina la huyo diwani hadi leo hii sijapata jibu sio kwa mleta uzi mwenyewe au yeyote yule aliyeamini huu upuuuzi. Wabongo ukiwaambia kitu ni uchawi tu wanaamini moja kwa moja bila reasoning yeyote ile. Hadi leo nasubiri jibu sijapata.
www.jamiiforums.com
Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli
Stori za kitaani. Na wengi wanaozianzishaga wanakuwa wagonjwa wa akili. Ukiwa mgonjwa wa akili kuna vitu unakuwa unaona au unahisi. Baadaye unaanza kusema ni uchawi. Huo mnaita uchawi ni mawenge yenu tu.