EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
mmmh!!? Aisee!?Ndio inawezekana wengine ufikia hatua kuingilia katika kufanya mapenzi naye anavua kuunga juhudi.
Inakua ni “mtungo” na wachawi wengi wana enjoy hii kitu. Wanapata uimara zaidi na nguvu.
Sister siamini kama ungenijibu ivo 🥹🥹😅 mwenzako nimekabwa na kuhojiwa ndotoni😂😂😂Muulize huyo mchawi wako 🤪
Sisi hatuna experience za kudate wanga/ wachawi.
Mkuu unanitisha sasa asije kuharibu dhakari😞Hawezi maana uchawi bongo ni jambo la Siri, Sasa utaka aseme alikuona na mwanamke kitandani usiku ili umjue kuwa ni mchawi? Nyie (wewe na huyo ulikuwa nae wakati wa fumanizi) jiandaeni Kurogwa kimya kimya
Kweli wewe tajiri kichwa KIBOVU yaani inakuwa threesome 🥰🥰 mi kanikaba na kunihoji🤣🤣Ndio inawezekana wengine ufikia hatua kuingilia katika kufanya mapenzi naye anavua kuunga juhudi.
Inakua ni “mtungo” na wachawi wengi wana enjoy hii kitu. Wanapata uimara zaidi na nguvu.
Mmmh mkuu unanitisha sasa,Huyo mchawi bado sio kungwi. Angekuwa kungu anakuloga huwazi wanawake wengine. .
Murembo uliza hata kwa shost wako maana wanawake mna mengiHii sio sekta yangu, Wadau karibuni mchangie