Ngoja nipitie kabla sijampa mabanzi huyu bintiMkuu EINSTEIN112 nenda kwenye huu uzi kwenye hii link, niliahidi kutoa laki5 kwa yeyote atayenipa jina la huyo diwani hadi leo hii sijapata jibu sio kwa mleta uzi mwenyewe au yeyote yule aliyeamini huu upuuuzi. Wabongo ukiwaambia kitu ni uchawi tu wanaamini moja kwa moja bila reasoning yeyote ile. Hadi leo nasubiri jibu sijapata.
Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli
Stori za kitaani. Na wengi wanaozianzishaga wanakuwa wagonjwa wa akili. Ukiwa mgonjwa wa akili kuna vitu unakuwa unaona au unahisi. Baadaye unaanza kusema ni uchawi. Huo mnaita uchawi ni mawenge yenu tu.www.jamiiforums.com
Nimekabwa ndugu yangu nikaona bora niulize asije kuniua😅😅😅😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui umewaza nini ndugu duhuu!!!!
Amina mkuu, 🤝🏻🤝🏻Siku njema nawe....
Dada nipe uzoefu wakoHehehe ..Khaaa!!..
Sina uzoefu wowote ndugu yanguDada nipe uzoefu wako
Dada nipe uzoefuHehehe ..Khaaa!!..
Sijapenda aiseeSina uzoefu wowote ndugu yangu
Karibu DodomaSina uzoefu wowote ndugu yangu
Ahsante sanaKaribu Dodoma
Anaweza kukuloga umchukie huyo mchepuko umpende yeye peke yake.Mkuu unanitisha sasa asije kuharibu dhakari😞
🤣🤣🤣🤣 nasubiri ajaribu tena aoneMchimbe mkwara mzito mwambie umeshajua kuwa yeye ni mchawi,mizimu ya kwenu imekuonyesha!
Na ole wake ajaribu kukufanya lolote atajuta,wachawi ni waoga wakigundua umefahamu mchezo wao Kisha mpige chini mwanga huyo
Halafu unacheka😡😡🤣 pole mkuu