Hivi mradi wa Babu wa Loliondo ulikuwa chini ya kiongozi gani ?

MABATI YA SUNBAK TANZANIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2025
Posts
217
Reaction score
577
Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .

Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.

Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa admitted to Babu wa loliondo.

By that time huu ujinga unatokea nilikuwa form two ila sasa Leo hii Mimi ni Wakili msomi .
 
Tukutane mahakamani kmmmk hakuna kucheza na wajinga wanocheza na Maisha ya watanzania wenzetu.

Kikwete huo mradi wake.na ndie tuliyebaki nae kama Rais mstaafu asiye jitambua.
 
Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .

Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.

Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa admitted to Babu wa loliondo.

Tukutane mahakamani kmmmk hakuna kucheza na wajinga wanocheza na Maisha ya watanzania wenzetu.

By that time huu ujinga unatokea nilikuwa form two ila sasa Leo hii Mimi ni Wakili msomi .
ule mradi ni sawa na huu mradi wa hawa matapeli wa no reform no elections ambao wanaiua Chadema kilofa zaid gentleman 🐒
 
Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .

Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.

Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa admitted to Babu wa loliondo.

Tukutane mahakamani kmmmk hakuna kucheza na wajinga wanocheza na Maisha ya watanzania wenzetu.

By that time huu ujinga unatokea nilikuwa form two ila sasa Leo hii Mimi ni Wakili msomi .
Ilikuwa Mzee wa Gombe bila shaka!
 
Mradi wa Loliondo uliratibiwa na maaskofu wa KKKT, maafisa vipenyo na wanazuoni wa theolojia wa Makumira University.
 
Babu hakuwa kichwa Ila alikuwa anatumika kwa maslahi ya wajanja wachache ambao ni wanasiasa.

Kwakuwa mpaka mradi unapoteza umaarufu tayari babu hakuwa tajiri wala kupata mafanikio makubwa .

Ila uki-count pesa zilizoingia kupitia huo mradi ni mabilioni ya pesa.
Kwani si alikuwa analipwa yeye mwenyewe?, imekuaje hakupata mafanikio?.
 
Hana mtoto nae aanzishe?, anasema tu nimeoteshwa na baba kuja kuwatibu, akipata promo atajipigia minoti, Si unajua watanzania hamueleweki.
 
Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .

Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.

Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa admitted to Babu wa loliondo.

By that time huu ujinga unatokea nilikuwa form two ila sasa Leo hii Mimi ni Wakili msomi .
Rais aliyeumwa tezi dume madarakani
 
Huenda ni yule aliyenywea Kikombe kwenye Helkopita!
Kama sikosei wakati huo kulikuwa na mjadala mkali bungeni kuhusu sakata la Escrow Tegeta na Richmond!
Mawazo ya watanganyika yakawa diverted kwenye Kikombe cha Babu.
 
Back
Top Bottom