MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
Kikwete huo mradi wake.na ndie tuliyebaki nae kama Rais mstaafu asiye jitambua.Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .
Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.
Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa admitted to Babu wa loliondo.
Tukutane mahakamani kmmmk hakuna kucheza na wajinga wanocheza na Maisha ya watanzania wenzetu.
By that time huu ujinga unatokea nilikuwa form two ila sasa Leo hii Mimi ni Wakili msomi .
ule mradi ni sawa na huu mradi wa hawa matapeli wa no reform no elections ambao wanaiua Chadema kilofa zaid gentleman 🐒Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .
Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.
Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa admitted to Babu wa loliondo.
Tukutane mahakamani kmmmk hakuna kucheza na wajinga wanocheza na Maisha ya watanzania wenzetu.
By that time huu ujinga unatokea nilikuwa form two ila sasa Leo hii Mimi ni Wakili msomi .
Ilikuwa Mzee wa Gombe bila shaka!Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .
Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.
Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa admitted to Babu wa loliondo.
Tukutane mahakamani kmmmk hakuna kucheza na wajinga wanocheza na Maisha ya watanzania wenzetu.
By that time huu ujinga unatokea nilikuwa form two ila sasa Leo hii Mimi ni Wakili msomi .
Babu hakuwa kichwa Ila alikuwa anatumika kwa maslahi ya wajanja wachache ambao ni wanasiasa.Yule alikua kichwa sana
Pia corona ilifichua ujinga hasa walipojenga banda la kujifukiza muhimbiliIshu ya Babu wa Loliondo ndo ilifichua kuwa adui UJINGA bado ana nguvu. Foleni ya zaidi ya 35km ilikuwa sio poa.
Na sio Serikali??Mradi wa Loliondo uliratibiwa na maaskofu wa KKKT, maafisa vipenyo na wanazuoni wa theolojia wa Makumira University.
Kwani si alikuwa analipwa yeye mwenyewe?, imekuaje hakupata mafanikio?.Babu hakuwa kichwa Ila alikuwa anatumika kwa maslahi ya wajanja wachache ambao ni wanasiasa.
Kwakuwa mpaka mradi unapoteza umaarufu tayari babu hakuwa tajiri wala kupata mafanikio makubwa .
Ila uki-count pesa zilizoingia kupitia huo mradi ni mabilioni ya pesa.
Rais aliyeumwa tezi dume madarakaniNaomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .
Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.
Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa admitted to Babu wa loliondo.
By that time huu ujinga unatokea nilikuwa form two ila sasa Leo hii Mimi ni Wakili msomi .
That was a trick huyo Babu alikuwa kibarua ameajiriwa katika huo mradi .Kwani si alikuwa analipwa yeye mwenyewe?, imekuaje hakupata mafanikio?.