Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 874
Mavi ya kuku !! Angekuwa anawekwa kinyumba na kina Zari ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Hapana mtaji wa Radio na TV ni mdogo hiyo pesa ndefu sana. Ila kwa asset anazomiliki Diamond kwa jinsi mitandaon wanavyosema kuna uwezekano mkubwa akawa na utajiri wa zaidi ya hiyo $1Mredio tu na tv nafikiria mtaji wake ni zaidi ya hizo
Kwahiyo unaandika forbes?Kwa hiyo wanaondika na kusoma forbes magazine wote ni Wanawake?
Aliyekwambia hao ni wa dar nani! We unatokea rukwa siyoNdio mambo mnayoshindia wanaume wa daresalama!
Mkitoka hapo kula kulala kwa Shemeji?
Akiwa nazo au asiwe nazo wewe inakusaidia nini?
Kwahiyo unaandika forbes?
Tuseme anayo au hana inakusaidia nini wewe?
Tafuta hela yako Mkuu!
Wewe ni ke au me??
Fanya yako aisee wewe si ulisemaga utatembea uchi lisu akihojiwa na live na citizens TV ya Kenya
Naanza kupata wasiwasi na jinsia yako kama ni me basi sio riziki
Si ndo apo. The rolls royce musician ambaye hana rolls royceAcha masihara asingekua anatumia gari la zamani x6 2008,hela haijificha kwa yeyote mwenye pesa utaona maendeleo yke
Itakua account ya instaMbona hiyo pesa ya madafu jamaa mwaka jana account yake ilikuwa inasoma 19billions
Wewe mwehu sasa maisha ya Diamond yanakuhusu nini??? Au unataka akakuoe??Labda nikuulize maisha yangu yanakuhusu nini wewe? Au unafikiri ni wewe peke yakp ndo umeona posti yangu? Wako wengi wameona na wamepotezea sasa wewe unayepata tabu kwa sababu binadamu xyz kaposti usichokipenda ndo unahitaji msaada nafikiri!
Wewe unayejusumbua kuulizia ya diamond je anakujua??Labda huo ushauri wako ungeanza nao wewe kwanza, kwani kama ungekuwa unafanya yako usingejisumbua kunifwatilia maisha yangu, mbona mimi sikujui na wala sijui ulichoposti?
Diamond karanga kwa mwezi inampa Milion 100+ voda kwa mwaka milion 700-ringtone za simu kwa mwezi ni zaidi ya 100milion njoo show na wasafi rekod cocacola chil source chibu perfume kuna mvinyo ule wanaoutangaza yeye na Rick Ross. Sijamaliza lakinj zidisha mara mbili
Atoe wapi ndugu yangu..busta rhymes mwenyewe hana hiyoMwaka 2016 alikuwa na dola mil 15
Usiamini mbwembwe hzomilioni 100 kwa mwezi???
Mwaka jana alidawa kodi milioni 400 sasa jiulize anaingiza shingapi mtu anaelipa kodi 400mil.
haha hahaaaKwa hiyo wanaondika na kusoma forbes magazine wote ni Wanawake?