Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta zakoNauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Mkuu mond yuko na utajiri usiopungua 4 million USD mkuuNauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
weka kumbukumbu sawa alivyobananishwa alipe hyo kodi akaanza kulia na kudai hana kipato cha kuweza kulipa hyo kodi , na akasisitiza kuwa hta anaposema analipwa show dola 50000 huwa si kweli huwa anafanya ivo ili kujipandisha thamani!!
No,,kuna interview moja alifanya baada ya huo mgogoro,hakutaka kufafanua zaidi ilasema amelipa..weka kumbukumbu sawa alivyobananishwa alipe hyo kodi akaanza kulia na kudai hana kipato cha kuweza kulipa hyo kodi , na akasisitiza kuwa hta anaposema analipwa show dola 50000 huwa si kweli huwa anafanya ivo ili kujipandisha thamani!!
Una akili timamu mkuu... nani aingie mkataba wa kumpa diamond mil 700 per year?? Ficha upumbavu wako.. mauzo ya diamond karanga per month hayafiki mil 100 afu awe analipwa hiyo?? Unajua pesa inavyolipwa kupitia hayo matangazo...?? Yaan diamond alipwe hivyo afu vituo vinavyorusha hayo matangazo yenyewe walipwe vipi.. what kind of stupidity.. ngoja niishie hapa.. ila diamond kwenye account yake hana hata mil 500...Diamond karanga kwa mwezi inampa Milion 100+ voda kwa mwaka milion 700-ringtone za simu kwa mwezi ni zaidi ya 100milion njoo show na wasafi rekod cocacola chil source chibu perfume kuna mvinyo ule wanaoutangaza yeye na Rick Ross. Sijamaliza lakinj zidisha mara mbili
Utakua huna akili wewe,unafikir kila MTU boya kama wewe.Una akili timamu mkuu... nani aingie mkataba wa kumpa diamond mil 700 per year?? Ficha upumbavu wako.. mauzo ya diamond karanga per month hayafiki mil 100 afu awe analipwa hiyo?? Unajua pesa inavyolipwa kupitia hayo matangazo...?? Yaan diamond alipwe hivyo afu vituo vinavyorusha hayo matangazo yenyewe walipwe vipi.. what kind of stupidity.. ngoja niishie hapa.. ila diamond kwenye account yake hana hata mil 500...
Ilikua ni dolla ya Zimbabwe mkuu[emoji23]Kulipwa 50,000 usd ni kweli,..niliona copy ya contract yake ya ile show ya zimbabwe,labda aseme hizo 50k haziingii zote kwake.
Umeshaambiwa Redio na TV ni ya Kusaga Pale chai jaba hajui hata bei ya rimotiredio tu na tv nafikiria mtaji wake ni zaidi ya hizo
Hivi ni sale au sellUkitaka hata Ww Unaweza Zimiliki just Sell an item worth $200 kwa Watu 5000 tu tayari unamiliki 1 million USD
Wasanii wote hata wa mbele ni watu wakuongeza sana masifuri kwenye mapato yao so siyo kuwaamini kwa 100%....chochote wanachopata wanaongeza na masifuri mengine mbeleNauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Kwa sababu wamekuambiwa unadaiwa milion 500 ndio ulipe kisa bilionea,hata bakhersa hafanyi hivyo na ndio maana ameajiri wataalam wa tax TRA wakikokotoa zao na wao wanakokotoa wanafanya comparison ndio wanalipa.Sio unaenda kichwa kichwa utapigwa kila siku.weka kumbukumbu sawa alivyobananishwa alipe hyo kodi akaanza kulia na kudai hana kipato cha kuweza kulipa hyo kodi , na akasisitiza kuwa hta anaposema analipwa show dola 50000 huwa si kweli huwa anafanya ivo ili kujipandisha thamani!!
Kulipwa 50,000 usd ni kweli,..niliona copy ya contract yake ya ile show ya zimbabwe,labda aseme hizo 50k haziingii zote kwake.
Hakuna msanii Tz anayelipwa M50 kwa showPiga tuu minimum ya 50mil per show, kwa mwaka anapiga show zaidi ya 20 achana na endorsement na biashara zake nyingine
Wewe chizi na narudia tena ww chizi... DIAMOND KARANGA MAUZO YAKE HAYAWEZI FIKA MIL 100 per month afu yeye awe analipwa hiyo mil. 100?? Vp vituo vya habari vinavyotangaza wao wanalipwa kiasi gani... even if advertisement can lead to higher level of sales lakini sio kwa ujinga kama unaofikiria wewe...Utakua huna akili wewe,unafikir kila MTU boya kama wewe.
Pimbi sana wewe,watu wanapambana na macho yanaonekana we unaleta chuki za kibwabwa!jinga sana
Sell ni kitendo cha kuuzaHivi ni sale au sell