Hivi msanii Diamond anaweza kuwa na 1 million USD?

Hivi msanii Diamond anaweza kuwa na 1 million USD?

Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Mkuu mond yuko na utajiri usiopungua 4 million USD mkuu
 
weka kumbukumbu sawa alivyobananishwa alipe hyo kodi akaanza kulia na kudai hana kipato cha kuweza kulipa hyo kodi , na akasisitiza kuwa hta anaposema analipwa show dola 50000 huwa si kweli huwa anafanya ivo ili kujipandisha thamani!!

Kulipwa 50,000 usd ni kweli,..niliona copy ya contract yake ya ile show ya zimbabwe,labda aseme hizo 50k haziingii zote kwake.
 
No,,kuna interview moja alifanya baada ya huo mgogoro,hakutaka kufafanua zaidi ilasema amelipa..
 
Diamond karanga kwa mwezi inampa Milion 100+ voda kwa mwaka milion 700-ringtone za simu kwa mwezi ni zaidi ya 100milion njoo show na wasafi rekod cocacola chil source chibu perfume kuna mvinyo ule wanaoutangaza yeye na Rick Ross. Sijamaliza lakinj zidisha mara mbili
Una akili timamu mkuu... nani aingie mkataba wa kumpa diamond mil 700 per year?? Ficha upumbavu wako.. mauzo ya diamond karanga per month hayafiki mil 100 afu awe analipwa hiyo?? Unajua pesa inavyolipwa kupitia hayo matangazo...?? Yaan diamond alipwe hivyo afu vituo vinavyorusha hayo matangazo yenyewe walipwe vipi.. what kind of stupidity.. ngoja niishie hapa.. ila diamond kwenye account yake hana hata mil 500...
 
Utakua huna akili wewe,unafikir kila MTU boya kama wewe.
Pimbi sana wewe,watu wanapambana na macho yanaonekana we unaleta chuki za kibwabwa!jinga sana
 
WaTZ mmezoeshwa umaskini mpaka mnafikiri kimaskini Sana'a

Hajaja shigongo kulalamika WCB wanatoza kwa show USD55000 akaomba wafikiriwe?hawajaja waganda kulalamika DIAMOND AMELAMBA ZAID YA MILL100 KWA SHOW NA WENGINE KAWAIDA?
HIZI NI SHOW TU NA ANAZO NYINGI ZA NJE
HAWAJAKIRI SAFARICOM KUNA MSANII TZ ANAINGIZA ZAID YA 20MILL PER DAY IN Kenya KUPITIA RINGTONE

HAPO ACHANA NA HAYO MAMBO YA MATANGAZO AMBAYO WAO WENYEWE MAKAMPUNI WALISHAKIRI KUA WANACHAJIWA MKWANJA MKUBWA,NAKUMBUKA BABUTALE ALIWAHI SEMA WALILETEWA MPAKA MILL200 NA COCA OLA MWANZO WAKAGOMEAGA MPAKA ZILIPOONGEZWA ZAID PLUS MLOLONGO WA MAKAMPUNI KIBAOOO
HAPO HATUJAGUSIA MAMBO KAMA YOUTUBE AMBAPO ANASUBSRIBE ZAID YA MILLION1.JE UNAJUA ANAINGIZA KIASI GANI HUKO MITANDAONI TU.AU HATA HILI MNAHITAJI KUFIKIRI KIMASKINI PIA?

DIAMOND HUYU MKIONGEA MKUMBUKE MENGI SANA MAKUBWA ANAYAFANYA NA MPIME PIA UWEZO WA KUYAFANYA HAYO UNAHITAJI HELA.JIULIZE ATAWEZAJE KAMA HANA HIZO HELA.

Ukiambiwa Jamaa anampunga usibishe kimaskini,tumia akili kwa reason nyingi.

KIJANA KATAFUTA NA KAZIPATA NA BADK ANAUCHU HATARI.NI HAYO TU
 
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Wasanii wote hata wa mbele ni watu wakuongeza sana masifuri kwenye mapato yao so siyo kuwaamini kwa 100%....chochote wanachopata wanaongeza na masifuri mengine mbele
 
Kama ya Zimbabwe inawezekana ila kama ni ya TRUMP Thubutuuuuuu....Hiyo ni 2B na Chenji ya mita 226 za MADAFU ya Mwanerumango.......labda hizo mita 226 za madafu inawezekana.
 
weka kumbukumbu sawa alivyobananishwa alipe hyo kodi akaanza kulia na kudai hana kipato cha kuweza kulipa hyo kodi , na akasisitiza kuwa hta anaposema analipwa show dola 50000 huwa si kweli huwa anafanya ivo ili kujipandisha thamani!!
Kwa sababu wamekuambiwa unadaiwa milion 500 ndio ulipe kisa bilionea,hata bakhersa hafanyi hivyo na ndio maana ameajiri wataalam wa tax TRA wakikokotoa zao na wao wanakokotoa wanafanya comparison ndio wanalipa.Sio unaenda kichwa kichwa utapigwa kila siku.
 
Kulipwa 50,000 usd ni kweli,..niliona copy ya contract yake ya ile show ya zimbabwe,labda aseme hizo 50k haziingii zote kwake.

ushasema ni copy hpo magumashi ya kuongeza sifuri yalishafanyika
 
Utakua huna akili wewe,unafikir kila MTU boya kama wewe.
Pimbi sana wewe,watu wanapambana na macho yanaonekana we unaleta chuki za kibwabwa!jinga sana
Wewe chizi na narudia tena ww chizi... DIAMOND KARANGA MAUZO YAKE HAYAWEZI FIKA MIL 100 per month afu yeye awe analipwa hiyo mil. 100?? Vp vituo vya habari vinavyotangaza wao wanalipwa kiasi gani... even if advertisement can lead to higher level of sales lakini sio kwa ujinga kama unaofikiria wewe...
Mpumbavu mkubwa wewe..
 
Back
Top Bottom