Hivi msanii Diamond anaweza kuwa na 1 million USD?

Hivi msanii Diamond anaweza kuwa na 1 million USD?

Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?

Wewe ni ke au me??

Fanya yako aisee wewe si ulisemaga utatembea uchi lisu akihojiwa na live na citizens TV ya Kenya

Naanza kupata wasiwasi na jinsia yako kama ni me basi sio riziki
 
redio tu na tv nafikiria mtaji wake ni zaidi ya hizo
Hapana mtaji wa Radio na TV ni mdogo hiyo pesa ndefu sana. Ila kwa asset anazomiliki Diamond kwa jinsi mitandaon wanavyosema kuna uwezekano mkubwa akawa na utajiri wa zaidi ya hiyo $1M
 
Ndio mambo mnayoshindia wanaume wa daresalama!
Mkitoka hapo kula kulala kwa Shemeji?
Akiwa nazo au asiwe nazo wewe inakusaidia nini?
Aliyekwambia hao ni wa dar nani! We unatokea rukwa siyo
 
Kwahiyo unaandika forbes?
Tuseme anayo au hana inakusaidia nini wewe?
Tafuta hela yako Mkuu!

Labda nikuulize maisha yangu yanakuhusu nini wewe? Au unafikiri ni wewe peke yakp ndo umeona posti yangu? Wako wengi wameona na wamepotezea sasa wewe unayepata tabu kwa sababu binadamu xyz kaposti usichokipenda ndo unahitaji msaada nafikiri!
 
Wewe ni ke au me??

Fanya yako aisee wewe si ulisemaga utatembea uchi lisu akihojiwa na live na citizens TV ya Kenya

Naanza kupata wasiwasi na jinsia yako kama ni me basi sio riziki

Labda huo ushauri wako ungeanza nao wewe kwanza, kwani kama ungekuwa unafanya yako usingejisumbua kunifwatilia maisha yangu, mbona mimi sikujui na wala sijui ulichoposti?
 
[emoji23][emoji23] watu jamani mmejibu kaks watu vibaya sababu ni CCM??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda nikuulize maisha yangu yanakuhusu nini wewe? Au unafikiri ni wewe peke yakp ndo umeona posti yangu? Wako wengi wameona na wamepotezea sasa wewe unayepata tabu kwa sababu binadamu xyz kaposti usichokipenda ndo unahitaji msaada nafikiri!
Wewe mwehu sasa maisha ya Diamond yanakuhusu nini??? Au unataka akakuoe??
 
Labda huo ushauri wako ungeanza nao wewe kwanza, kwani kama ungekuwa unafanya yako usingejisumbua kunifwatilia maisha yangu, mbona mimi sikujui na wala sijui ulichoposti?
Wewe unayejusumbua kuulizia ya diamond je anakujua??
 
Diamond karanga kwa mwezi inampa Milion 100+ voda kwa mwaka milion 700-ringtone za simu kwa mwezi ni zaidi ya 100milion njoo show na wasafi rekod cocacola chil source chibu perfume kuna mvinyo ule wanaoutangaza yeye na Rick Ross. Sijamaliza lakinj zidisha mara mbili

milioni 100 kwa mwezi???
 
Hahahaha, swali la kizushi ila lazima liulizwe, $1m si mchezo mkuu, ila sijajuwa unauliza kama "cash in the bank" au "net worth"?!
Ila hiyo hela kuiandika rahisi mno, kuwa nayo its another matter....
Personally I do not believe he has it, ila assets zake labda zaweza fikia robo au nusu ya hiyo hela..tatizo mambo mengi TZ ni mangumashi ili tukwepe kodi, inakuwa vigumu kupata uhalisia wa utajiri wake..
 
Mwaka jana alidawa kodi milioni 400 sasa jiulize anaingiza shingapi mtu anaelipa kodi 400mil.
 
Mwaka jana alidawa kodi milioni 400 sasa jiulize anaingiza shingapi mtu anaelipa kodi 400mil.

weka kumbukumbu sawa alivyobananishwa alipe hyo kodi akaanza kulia na kudai hana kipato cha kuweza kulipa hyo kodi , na akasisitiza kuwa hta anaposema analipwa show dola 50000 huwa si kweli huwa anafanya ivo ili kujipandisha thamani!!
 
Back
Top Bottom