DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,382 Reaction score 29,639 May 6, 2018 #81 Ngushi said: Ndio mambo mnayoshindia wanaume wa daresalama! Mkitoka hapo kula kulala kwa Shemeji? Akiwa nazo au asiwe nazo wewe inakusaidia nini? Click to expand... Hivi kula na kulala kwa shemeji ni dhambi ?
Ngushi said: Ndio mambo mnayoshindia wanaume wa daresalama! Mkitoka hapo kula kulala kwa Shemeji? Akiwa nazo au asiwe nazo wewe inakusaidia nini? Click to expand... Hivi kula na kulala kwa shemeji ni dhambi ?
2017 No Name Senior Member Joined Jul 26, 2017 Posts 172 Reaction score 133 May 6, 2018 #82 Hahaha,.. we mjinga unaweza!!!
S Smiling killer JF-Expert Member Joined May 1, 2018 Posts 1,290 Reaction score 1,123 May 7, 2018 #83 Ibofwee said: Labda account ya instagram Click to expand... Unajua mshahara wa ronaldo kwa mwaka!?...hivi mnacheza na billion 19!!?
Ibofwee said: Labda account ya instagram Click to expand... Unajua mshahara wa ronaldo kwa mwaka!?...hivi mnacheza na billion 19!!?
goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,149 May 9, 2018 #84 Kigoma yule mwisho wa reli lazima aloge.
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,604 Reaction score 20,085 May 9, 2018 #85 1M$ atakunya bongo yote
Mister Awesome Member Joined Jan 4, 2018 Posts 86 Reaction score 82 May 9, 2018 #86 cephalocaudo said: Hivi kula na kulala kwa shemeji ni dhambi ? Click to expand... sio kosa ila madhara yake ni kuwaza vitu vya kijinga km hivi...sababu ukishashiba na jion una uhakika wa kula na kulala we unadhan utawaza nini
cephalocaudo said: Hivi kula na kulala kwa shemeji ni dhambi ? Click to expand... sio kosa ila madhara yake ni kuwaza vitu vya kijinga km hivi...sababu ukishashiba na jion una uhakika wa kula na kulala we unadhan utawaza nini