Hivi mshahara wa mwezi huu umetoka? Mbona kwangu bila bila?

Hivi mshahara wa mwezi huu umetoka? Mbona kwangu bila bila?

Babu wa mchongo Grahams hebu tupe muongozo😭😭
Kwani Kuna ambao hawajapata mshahara wao hadi sasa?

Kila mmoja atapata mshahara wake labda kama utakuwa uliripotiwa vibaya na HRO wenu, maana Kuna maHR kama hujajaza PEPMIS wanaweza ku-recommend usilipwe mshahara wako
 
Heeeeh! Pepmis tena🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
ID Yako na wewe kuulizia mshahara hata haviendani ila ndio uhalisia wako
 
Heeeeh! Pepmis tena🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Usijali, hope wako utakuwa njiani ama tayari kwenye Akaunti

Huyo PEPMIS ni shida, Kila Mwezi anatakiwa kujazwa na kuwa verified huko Hazina
 
Wakuu hivi mshahara umetoka? Kwa wanaoutumia benk ya NMB mshahara umetoka? Au ndiyo nill wote kama mimi?
Pole Sana mkuu...sisi wengine MISHAHARA INAKUTANA.

Pole Sana kwa kweli

NB.
Nilicho andika hapo juu kisizingatiwe/ kipuuzwe ni uongo wa kujifuraisha na upotoshaji 😅😅😊☺️😔
 
Back
Top Bottom