Nimekuelewa sana. Ila tu mwonekano mzuri kwa macho sio guarantee ya mwenzi kutokuchepuka. Ingekuwa hivyo wazuri wote walioolewa wasingechepukiwa. Au vinginevyo kina Uwoya, Wema sijui mamiss wote wangekuwa wake za watu na wasingechepukiwa. Samaki wa mapambo haliwi mkuu!Ukiwa na Akili fupi utaelewa kama nilivyoandika na ulivyonukuu hapo ila kwa Werevu wameshajua nataka nini hasa hapa.