Nimekuelewa sana. Ila tu mwonekano mzuri kwa macho sio guarantee ya mwenzi kutokuchepuka. Ingekuwa hivyo wazuri wote walioolewa wasingechepukiwa. Au vinginevyo kina Uwoya, Wema sijui mamiss wote wangekuwa wake za watu na wasingechepukiwa. Samaki wa mapambo haliwi mkuu!Ukiwa na Akili fupi utaelewa kama nilivyoandika na ulivyonukuu hapo ila kwa Werevu wameshajua nataka nini hasa hapa.
Jamaa akili yako ndg sana. Kwaio umeshindwa kutofautisha jamaa anakopatia ugali na maisha yake halisi. Hii ni kama tuu mchungaji anavokemea uzinzi wakati yeye anazini. Grow up man. HALAFU SIJUI KWA NINI NIMECOMENT HUU UZI
Sikuhizi kiswahili shida sana, Miriam ana u kigoli gani?Au vile andunje unaona ni kigoli, Kama kigoli yule basi kimefungwa nyingi wallah.Jamaa ana enjoy life sana ye na kigoli wake Miriam Lukindo
Ni ka kigoli sana mkuuSikuhizi kiswahili shida sana, Miriam ana u kigoli gani?Au vile andunje unaona ni kigoli, Kama kigoli yule basi kimefungwa nyingi wallah.
Duuuu mkuu labda kama unafanya masikhara ama hujui maana ya mwanamke kigoliNi ka kigoli sana mkuu
Mtangazaji wa EATV Mussa alishawahi sema ""Yeye ni kama wengine, kwenye mahusiano yake anakutana na mengi sanaaa ila ameamua kunyamaza na kutomwambia yeyoteee""Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia?
Umecoment kwasababu hauna akiliJamaa akili yako ndg sana. Kwaio umeshindwa kutofautisha jamaa anakopatia ugali na maisha yake halisi. Hii ni kama tuu mchungaji anavokemea uzinzi wakati yeye anazini. Grow up man. HALAFU SIJUI KWA NINI NIMECOMENT HUU UZI
Kudos Mkuu kwa hilo Jibu ulilompa.Umecoment kwasababu hauna akili
Umecoment kwasababu hauna akili
Sahihi kabisa huko mbinguni.Jamani sio kila couple ina changamoto kwenye mahusiano yao, wapo watu wanayaishi mapenzi ya kweli.
Hapana sidhani aisee[emoji848][emoji848]Jamani sio kila couple ina changamoto kwenye mahusiano yao, wapo watu wanayaishi mapenzi ya kweli.
Katika jambo naweza kukukatalia hadi kesho ni hili Bibie!Jamani sio kila couple ina changamoto kwenye mahusiano yao, wapo watu wanayaishi mapenzi ya kweli.
Katika jambo naweza kukukatalia hadi kesho ni hili Bibie!
Tena mkipendana sana basi changamoto lazima ziwepo tu.
Ingawaje kiwango cha uvumilivu tunatofautiana couple moja na nyingine. Na matatizo pia yanatofautiana.
Kudos Mkuu kwa hilo Jibu ulilompa.
Hakuna ndoa isiyo na changamoto, haipo hata moja na kama ipo basi itakuwa ndoa ya kinafiki mwanzo mwisho.Jamani sio kila couple ina changamoto kwenye mahusiano yao, wapo watu wanayaishi mapenzi ya kweli.