Labda kama mmekutana wawili wanafiki na wazindiki, ila wanaopendana kwa dhati lazima wakumbane na changamoto tu, ukikutana na mnafiki wa kukujibu "sawa baby" kwa kila kitu hutaona changamoto zozote.Sio kweli.
Wapo Watu wanaishi mapenzi ambayo ûkiyaona hutaamini. Yake mapenzi ya tamthilia.
Ninàushuhuda
Labda kama mmekutana wawili wanafiki na wazindiki, ila wanaopendana kwa dhati lazima wakumbane na changamoto tu, ukikutana na mnafiki wa kukujibu "sawa baby" kwa kila kitu hutaona changamoto zozote.
Ili asipendelee upande wowote aliamua asiwe na mke.Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao Wabadilike upesi Kitabia na Kero ziishe Majumbani mwetu na Mapenzi yawe mwemwere mwemwere tu.
Steve Harvey siyo!!Yaliyopo nyuma ya pazia yanasadifu uhalisia.
Rejea yule mmarekani alochapiwa while kwenye kipindi chake ni mtaalam wa mahusiano
JJ Mwaka kumpe jogoo hapandi mtungi??Watu kama wakina Mauki ndio wana matatizo kuliko sisi, Mmesahau ishu ya JJ Mwaka anawahubiria watu na kuwauzia dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati yeye mwenyewe ana hilo tatizo. Na akakimbiwa na Mke? Hawana ishu watu kama Hawa ni blah blah tu na kujitafutia pesa kupitia wanyonge.
Kwahiyo kumbe Dk. Chris Mauki nae ni Junior Bachelor kama Mimi GENTAMYCINE au?Ili asipendelee upande wowote aliamua asiwe na mke.
hao motivation speakers wote ni waongo tu, hasa ukija kwenye suala la utekelezaji wa hio miradi wenyewe wameshindwa ndio maana wamechagua hio kazi ya ushauri na kuuza vitabu ili mkono uende kinywani! ukiwaskilizaKwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao Wabadilike upesi Kitabia na Kero ziishe Majumbani mwetu na Mapenzi yawe mwemwere mwemwere tu.
Nyumba zinaficha mengi...Kwahiyo kumbe Dk. Chris Mauki nae ni Junior Bachelor kama Mimi GENTAMYCINE au?
Huyu soon mtasikiaaaa naye analiaaa,yalaaaaahhh
Ova
Sasa hizo changamoto za dharau, pombe, uzinzi, uongo, kuumizwa kihisia nk ndio sehemu halisi ya mapenzi. Huwezi kuishi na mwenzi wako kwa miaka 10+ bila kukutana na mojawapo kati ya hayo. Kumbuka tu graph ya upendo huwa haipandi wakati wote, no matter how you love her. Zile ups na downs zinaweza hata kukufanya ukawaza(question) upendo wako kwake.Changamoto sio chuki
Changamoto za kiuchumi na maisha sio tatizo kwenye mapenzi.
Ila zile za kitabia kama usaliti wa zinaa, mapombe, dharau sijui ubinafsi hizô kwa baadhi ya mahusiano hakuna kitu kama hicho.
Wanafiki na wasaliti wanafanana kitabia ya kutokuaminiana na kudhani Watu wote ni wanafiki au sio waaminifu kama wao walivyo.
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao Wabadilike upesi Kitabia na Kero ziishe Majumbani mwetu na Mapenzi yawe mwemwere mwemwere tu.
Naam mkuu.Steve Harvey siyo!!
Mapenzi hayana formula!...unaweza kuta yeye ndo anapitia mazito kwenye ndoa yakeKwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao Wabadilike upesi Kitabia na Kero ziishe Majumbani mwetu na Mapenzi yawe mwemwere mwemwere tu.
Haaaa genta kama genta nimecheka sanaaKwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao Wabadilike upesi Kitabia na Kero ziishe Majumbani mwetu na Mapenzi yawe mwemwere mwemwere tu.