Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za watu nchini Tanzania Dkt. Mauki ndiyo kusema yeye ni Malaika na hakumbani na kero zitupatazo?

Anawapumzikia na kutolea stress zake kwa nyie nyumbu 😁😁😁😁
 
Nataka andika kitu hapa kuhusu jamaa kuvuliwa ubingwa, mod elewa nasema ubigwa wa masuala ya saikolojia usinipige ban, eeh ndiyo hivyo wazee wa Cuba mwamba inasemekana hana ubigwa
 
Pale kwao naona mke ndio inferior. Jamaa ni maarufu na kwa consultation anazofanya ni wazi wanawake watakuwa wanamikinika sana kufata huduma ya kuliwazwa.

Mkewe lazma atakuwa anavumilia sana cold calls za mademu ambao lawama zinakuwa converted kuwa ni wateja. Kamke ni kafupi hakana mvuto lazma kawe kavumilivu tu.
 
Popoma ana Ban? Huyu jamaa kwa mwaka anapigwa ban ngapi?
Pamoja na BAN za JamiiForums ila yuko Ikulu nchi fulani nikiwa kama VVIP na kila Siku nakuwa jirani na Mkuu wa nchi husika. Je, Wewe mwenzangu ambaye hata hujawahi kupata BAN hapa una lipi la maana la kukufanya Uheshimike na uwe VVIP nilivyo Mimi? Moron...!
 
Mmm jamaa Ana Piga sanaa totoz za UDSM mke wake ana msongo sanaa
Acheni awakaze. Ulitaka abandue Dada zako au? Sifa ya Mwanaume yoyote yule aliye Rijali ni Kubandua tu na hakuna Huruma.
 
Mkuu kwahiyo kwa sasa wewe ndo mganga (mpiga ramli) wa kiongozi wa hiyo nchi? Hongera sana.
 
Mkuu kwahiyo kwa sasa wewe ndo mganga (mpiga ramli) wa kiongozi wa hiyo nchi? Hongera sana.
Mnavyoona kutwa tuko hapa JamiiForums mnakariri na kudhani kuwa tunafanana? Endeleeni tu Kukariri hivyo hivyo FOOLS nyie.
 
Acheni awakaze. Ulitaka abandue Dada zako au? Sifa ya Mwanaume yoyote yule aliye Rijali ni Kubandua tu na hakuna Huruma.
😁😁😁 we bwege una PhD ya masifa na kujikweza.. Uwepo wako ni burudani hapa JF.
 
😁😁😁 we bwege una PhD ya masifa na kujikweza.. Uwepo wako ni burudani hapa JF.
Sina PhD nina Degree yangu moja tu ya SAUT ila nashangaa niko Ikulu ya nchi kama VVIP je, Wewe Msomi hasa uko wapi? Idiot...!
 
Una uhakika alikimbiwa na mkewe sababu hana nguvu za kiume? Au ni udaku tu wa Bongo?
 
Sina PhD nina Degree yangu moja tu ya SAUT ila nashangaa niko Ikulu ya nchi kama VVIP je, Wewe Msomi hasa uko wapi? Idiot...!
Mimi ni msomi mkubwa ninayeweza kuku-challenge popoma. Halafu form six ulikuwa na three au four kama ulienda SAUT.
 
hao motivation speakers wote ni waongo tu, hasa ukija kwenye suala la utekelezaji wa hio miradi wenyewe wameshindwa ndio maana wamechagua hio kazi ya ushauri na kuuza vitabu ili mkono uende kinywani! ukiwaskiliza
Unakutana na mtu anajiita mentor wakat hana practical relevance ya kile anacho mentor watu wake..hana any feasible achievement juu ya kile anchohubiria watu.

Ukiwabana sana watakuambia kamasemo kao "if you cant trade, teach".

Biashara mchezo??? Biashara kuna muda inakutoa akil kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…