Umesahau mandoto ambayo hayaeleweki ya kushtuka shtuka hovyoNi siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Kunywa maji mengi uflash sumu zote mwilini baada ya hapo utapata usingizi mororo mno na wenye afyaNi siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Ukitaka kupata usingizi vizuri uwe unakula mabilinganya ni mazuri sana kwa kuleta usingizi, ndizi mbivu pia!Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Hongera nadhani upo kibaruani inshallahMimi mkesha wa siku ya kupokea mshahara ndo uwa sipati usingizi ila siku nyingine.nikirudi tu kibaruani saa 1 nalala mpaka saa 6 usiku.nachezea simu kidogo au naangalia tv nalala Tena mpaka saa 12 asubuh.kwenda kwenye kibarua tena
Ushauri hujatoa Bado?!Sio kwamba ukiwa hunywi pombe huwezi kupata usingizi Bali kinachokusumbua wewe ni uraibu Kama ilivyo kwa madawa ya kulevya
Hali Kama yako ni kawaida kabisa kwa mtu ambae ashakuwa mraibu wa kitu Fulani
Kama ushazoea kabla hujaenda kulala unakunywa tungi Basi faham kuwa siku ukiikosa ndo matokeo Kama hayo
Uraibu uraibu uraibu
Ajipe mudaUshauri hujatoa Bado?!
SafiAjipe muda
Unakaribia Kupata Kiharusi.. Ulipokuwa Hunywi hizo Pombe ulikuwa unapataje usingizi, au Ulizi-anza Ukiwa Tumboni Mwa Mama Yako?Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Ukilala na mm lazima upate usingizi, ukiamka lazim unikumbatie nikuambukize usingizi mnonoNi siku ya pili sijagusa tungi kabisa.