Hivi msiokunywa pombe usingizi huwa mnaupataje?

Hivi msiokunywa pombe usingizi huwa mnaupataje?

Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.

Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.

Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Bila kupata shot 2 za Black & white usingizi sipati kabisa yan siwezi
 
Kaka mkubwa kuna kitu zaidi ya hiyo tungi kina upeperusha huo usingizi ,kwa mfano mm siwez kulala bila kujikumbushia mademu niliopiga
 
Dah sinywi pombe na usingizi sio kitu nakizingatia sana ila aisee nikisema sasa nalala huwa nalala mnoooooo. Kupata usingizi kwangu haijawah tokea ikawa kipengele. Nikisema nalala aah chap nazima shwaaaa
 
Ila pia pombe utalala haraka ila saa Saba usingizi utaisha

Ushauri:tafuta series za kuangalia usiku upoteze time..masaa matano kwa mwanaume kulala yanatosha kabisa kumbuka kuna watu hawalali maisha mchaka mchaka
 
Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.

Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.

Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?

Muda wa kulala achana na simu,Lala kwa utulivu,usingizi utakuja tu.
 
Kunywa maji mengi uflash sumu zote mwilini baada ya hapo utapata usingizi mororo mno na wenye afya
Na kinacho msumbua ni sumu nyingi iliyomo kwenye Damu yake baada ya kunya pombe nyingi.
 
Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.

Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.

Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?

Ukifikia Hatua Hiyo Jua Tu,umeshaharibikiwa Na Figo Na Ini
Umekuwa Kama Pikipiki Iliyoharibika
Unawakia Choki Na Kuzimia Choki.
 
Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.

Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.

Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Usilazimishe tufanane boss.
 
Back
Top Bottom