baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 1,135
- 1,182
Tumia fulsa hiyo, ukichelewa kulala fanya shughuri nyingine, ukiwahi kuamka wahi kwenye majukumu!,,, usiache muda upotee bule
😂😂 Very sadAcha kabisa mkuu 😂 😂
Bado na riba tena 😭 😭😂😂 Very sad
😂😂Umeanza kulia taratibuBado na riba tena 😭 😭
Mungu akampa adamu usingizi mzito akamtoa ubavu akamtengeneza Hawa.Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Ni zaidi ya kilio mkuu😂😂Umeanza kulia taratibu
Tena riba kubwa😔
Angalia vitimbwi vya Big brother na Movieroom,Martin na Big mama yake.Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Kumcha Mungu Tu ninjaUlitumia mbinu gani ninja?