Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 2,293
- 5,418
Bila kupata shot 2 za Black & white usingizi sipati kabisa yan siweziNi siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Wewe ni mnywaji pia?ngoja waje
ndio japo sinywi ili nilaleWewe ni mnywaji pia?
Dada madeni hayatakuja kuisha usiogope ku top up ndo ukubwa huo hata kina bakhresa wanadaiwa piaTunalala vizuri tu tusipokuwa na madeni
Duuu! Kutopup ni maumivu...Mara mia upande daraja then ukope bank nyingineDada madeni hayatakuja kuisha usiogope ku top up ndo ukubwa huo hata kina bakhresa wanadaiwa pia
Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Na kinacho msumbua ni sumu nyingi iliyomo kwenye Damu yake baada ya kunya pombe nyingi.Kunywa maji mengi uflash sumu zote mwilini baada ya hapo utapata usingizi mororo mno na wenye afya
Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Hivi kuna mtu anaweza kusonga bila deni kweli? umesema neno limenigusa deniiiiiii π π πTunalala vizuri tu tusipokuwa na madeni
βΉοΈ Inasikitisha sanaHivi kuna mtu anaweza kusonga bila deni kweli? umesema neno limenigusa deniiiiiii π π π
Usilazimishe tufanane boss.Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
Kabla hujamaliza kulipa jukumu linatokea ghafla inakubidi udumbukie kukopa tena duh!!βΉοΈ Inasikitisha sana
Kutopup huko?Kabla hujamaliza kulipa jukumu linatokea ghafla inakubidi udumbukie kukopa tena duh!!
Acha kabisa mkuu π πKutopup huko?