Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

sielew sana histry ya wasukuma !ila ulicosema ni kweli 100%ngumu sana msukuma kum-bagua msukuma mwenzake !

Kweli make me nmezaliwa kahama na nmekulia huko lakin sekondari nikasomea maeneo ya meatu na skubaguliwa kwa tofauti ya kirafudhi kwa kisukuma changu na nmeenda advance tukakutana na wasukuma toka sehem mbali mbali na hatukubaguana na kulikua na sheria moja tu Ukiona wakukaya analega kwenye msuli inabid akanywe haraka yani niliinjoy dana pande zile japo tuliitwa wazee wa kukamia masomo ya science na mwishowe tulifanikiwa kutoboa kwa wingi sana mtihan wa Ndalichako .

Kwa kifupi hatujawah baguana na haitakuja kubaguana sis kwa sisi ama hata jamii zingine.

Siye ukija hata kama sio wa kukaya unaomba ubunge unaweza chaguliwa tu nduhu tabhu gete.
 
Asante sana nilikuwaga sijui nini maana ya eminza na emwasnhi
 
Kiongozi umeongea vizuli sana katika wote hao ni haswa msukuma original maana nimesikia wengine ni wahamiaji
 
FACT: yan ukitaka ugundue huwa tunapendana sana uwe hauko usukuman afu usikie wasukuma wanaongea kiruga wengi hushindwa kujizuia na huwa tunajoin mazungumzo
Kushindwa kujizuia ni kweli kabisa maana mimi siku moja niko hotelin dodoma napata chakula si nikapigiwa cm nikaanza kuongea kusukuma ile nakata tu iv jamaa waliokuwa pemben wakanivaa. Nkoy gash nag'o ule binadam asiee nilicheka sana

Sasa ikafika wakati wa kulipia chakula kila mtu anataka alipe mimi nikawa nataka niwalipie nao wanataka wanilipie lakin mimi ndo nilishinda nikawalipia

hata mimi saiv nikikutana na mtu afu nikahisi tu kuwa huyu ni msukuma lazima nimsemeshe
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yan hii sijuagi tu inatokana na nin huwa nafurahi sana kwa tunavyothaminiana
 
Wasukuma original wanapatikana srhemu za mashambani kuanzia biharamulo, teremka hadi geita, shinyanga, mwanza, simiyu, igunga, nzega hadi bunda....wengine wako kule ihefu, kigamboni, kilosa, rukwa, katavi, kibondo na singida. Kuna wasukuma hybrid waliochanganya wazazi....hawa wako miji yote ya Tanzania......
 
Hatuna tunaembagua.sote ni wasukuma ktk mikoa mitano yote ,lakini hao wazinza mala sijui wasumbwa hao siyo wasukuma.umechota habari za uongo kutoka kwa aliyekuhadithia.msukuma hambagui mtu yoyote hata awe wa kabila lingine kwa msukuma huyo ni ndugu.hakuna ubaguzi usukumani

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Wasukuma kubaguana ni vigumu sema wanapenda sana matani lakin sio kubaguana wao kwa wao
 
Aisee Wazinza, Wasumbwa, Watusi na Wakonongo sio Wasukuma hata kidogo. Hata hatuelewani nao kabisaaaaaaa. Sisi tunaelewana kwa rafudhi zetu ambazo zinampambanua huyu mnyantuzu, Mnang'wagala au mnasukuma. Lakini kamwe hatubaguani kama wachaga ndomana hiyo tofauti ya usukuman wengi hawaielew ila sisi tunaelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…