Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Hahahahahaaaa kama unaenda KachwambaRubambangwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaa kama unaenda KachwambaRubambangwe
sielew sana histry ya wasukuma !ila ulicosema ni kweli 100%ngumu sana msukuma kum-bagua msukuma mwenzake !
Mimi huwa naamin Wasukuma wote ni ndugu zangu wa damu popote pale napokutana naosielew sana histry ya wasukuma !ila ulicosema ni kweli 100%ngumu sana msukuma kum-bagua msukuma mwenzake !
Mimi huwa naamin wasukuma wote ni ndugu zangu wa damu popote pale napokutana nao
Asante sana nilikuwaga sijui nini maana ya eminza na emwasnhiMkuu naweza sema kwamba hayo maeneo ndiyo yalikaliwa na wasukuma mwanzon na kwa mda mrefu sana kumbuka walikua wanatoka upande wa maghalibi ng'weri na kuelekea mashariki ambapo walienda kukumbana na wamaasai na kuweza kupata mikikimikik hasa watoto wa kiume (hapa staliweka wazi sana ) lakin ushawahi fatilia kwenye maholelo ya kwetu chanzo cha kuwa wanapandwa na mizim na kuongea kimasai/ama kitaturu chanzo nin??? Kwain hifadhi ya maswa kwenye milima kuna nyumba nyingi za kale hata makaburi ya watu maalufu kama vile Nyendwa, Sita (huyu mpaka leo kuna nyumba ake na mabak ya ziz na ng'ombe wake waliobadilika na kuwa mawe na kisima chake na alisafir mpaka Butiama na alitabiri mpaka kuzaliwa kwa nyelele) mtemi wa mwisho wa meadu (ngwesa) .
Lakin pia fatilia story ya Ng'witulo gwa Ng'wawilyamu miaka ya 1950.
Kwa kifupi wasukuma wamegawanyika kuanzia zaman na hasa kufatana na utawala wao na hata maeneo yao na kuweza kuunda makundi yaliyopo mpaka sasa kama nilivyo yataja.
Na ikumbukwe kwamba kikwetu asili aridhi yote ni yawanawake na ndio walikua watawala japo kulingana na wakati walikua wanapinduliwa na waume zao .
Lakin ti kwa hekima mpaka leo tunawaanzi hao watawala wa mwanzo kwa salam japo sku izi watu hawajui ata maana ya hizo hekima za salam (lwimbo) na kwa hawa watawala kunawaliokuwa na maeneo makubwa sana na wanaonekana kuwanaidadi kubwa ya watu kama vile MINZA,( wanatumia EMINZA), Wengine ni akina.
NKWAYA,SEGA,NKWIMBA,SABHE,NG'WASHI,n.k
Na kuna hawa wanasalimiwa NG'WAKADILU walifata kwa huyu mama KADILU hakuwa mtemi na alizaliwa tu kwa kufata jua na asubuhi na alipaya pia wa kumuunzi kwa salam
Asante sana nilikuwaga sijui nini maana ya eminza na emwasnhi
Kiongozi umeongea vizuli sana katika wote hao ni haswa msukuma original maana nimesikia wengine ni wahamiajiBasukuma= Wakaskazini
Banang'weli= Wamagharibi
Badakama= Wakusini (mnawaita wanyamwezi kwa kweli hakuna wanyamwezi)
Banakiya= Wamashariki
Hawa wote ni lugha moja watofautiana lafidhi tu
Wasukuma (bhasukuma) ni Mwanza na Shinyanga
Banang'weli(bhanang'weli) hawa ni wasumbwa wanakaa zaidi sehemu za Geita na Kahama
Badakama (bhadakàma) au wanyamwezi mkoa wapo eneo karibu lote la Tabora
Banakiya(bhanakiya) ni wanyantuzu ni wasukuma maeneo yao ni Bariadi, Maswa tuseme mkoa wote wa Simiyu kwa akina Cheyo,Shibuda na Vijisenti
Nimeishia hapo kama anayejua zaidi karibu
SUKUMA ni kaskazini
DAKAMA ni kusini
KIYA ni mashariki
NG'WELI ni magharibi
Watu hawa lugha moja ni mtawanyiko wao ulivyo
Kushindwa kujizuia ni kweli kabisa maana mimi siku moja niko hotelin dodoma napata chakula si nikapigiwa cm nikaanza kuongea kusukuma ile nakata tu iv jamaa waliokuwa pemben wakanivaa. Nkoy gash nag'o ule binadam asiee nilicheka sanaFACT: yan ukitaka ugundue huwa tunapendana sana uwe hauko usukuman afu usikie wasukuma wanaongea kiruga wengi hushindwa kujizuia na huwa tunajoin mazungumzo
Kushindwa kujizuia ni kweli kabisa maana mimi siku moja niko hotelin dodoma napata chakula si nikapigiwa cm nikaanza kuongea kusukuma ile nakata tu iv jamaa waliokuwa pemben wakanivaa. Nkoy gash nag'o ule binadam asiee nilicheka sana
Sasa ikafika wakati wa kulipia chakula kila mtu anataka alipe mimi nikawa nataka niwalipie nao wanataka wanilipie lakin mimi ndo nilishinda nikawalipia
hata mimi saiv nikikutana na mtu afu nikahisi tu kuwa huyu ni msukuma lazima nimsemeshe
Hatuna tunaembagua.sote ni wasukuma ktk mikoa mitano yote ,lakini hao wazinza mala sijui wasumbwa hao siyo wasukuma.umechota habari za uongo kutoka kwa aliyekuhadithia.msukuma hambagui mtu yoyote hata awe wa kabila lingine kwa msukuma huyo ni ndugu.hakuna ubaguzi usukumaniKwa wale wadau ambao mshawahi kuishi na kukaa usukumani mtakuwa mnatambua ndani ya usukuma kuna jamii karibia tano na wote wanajiita wasukuma
Lakini ndani ya usukuma wenyewe kwa wenyewe wamekuwa wakibaguana ya kutokana na asili ya walipotokea kwa mfano zipo jamii ambazo zinasadikika walitokea zambia,rwanda,burundi,congo, uganda zilikuja kuishi maeneo ya tabora, mwanza,geita,shinyanga wanajiita wasukuma lakini inasemekana sio wasukuma.
Kwa mfano ndani ya usukuma kuna jamii kama vile wazinza,wasubwa,wadakawa, wanyatuzu,wakonondogo,watusiyoo n.k na kila jamiii ina historia yake ni wapi walipotokea ila wengi wakiwa mijini wanajiita wasukuma lakini wakirudi makwao wanabaguana kuwa sisi wasukuma wale sio wasukuma.
Hebu tusaidiane ivi msukuma asili au asili ya msukuma inatokea katika jamiii ipi au wenyewe wasukuma original wanatokea sehemu gani
Kuna Kijiji kimoja nilienda kinaitwa Inchwankima[emoji1] [emoji1]Butarama na Kanyama
Wasukuma kubaguana ni vigumu sema wanapenda sana matani lakin sio kubaguana wao kwa waoKwa wale wadau ambao mshawahi kuishi na kukaa usukumani mtakuwa mnatambua ndani ya usukuma kuna jamii karibia tano na wote wanajiita wasukuma
Lakini ndani ya usukuma wenyewe kwa wenyewe wamekuwa wakibaguana ya kutokana na asili ya walipotokea kwa mfano zipo jamii ambazo zinasadikika walitokea zambia,rwanda,burundi,congo, uganda zilikuja kuishi maeneo ya tabora, mwanza,geita,shinyanga wanajiita wasukuma lakini inasemekana sio wasukuma.
Kwa mfano ndani ya usukuma kuna jamii kama vile wazinza,wasubwa,wadakawa, wanyatuzu,wakonondogo,watusiyoo n.k na kila jamiii ina historia yake ni wapi walipotokea ila wengi wakiwa mijini wanajiita wasukuma lakini wakirudi makwao wanabaguana kuwa sisi wasukuma wale sio wasukuma.
Hebu tusaidiane ivi msukuma asili au asili ya msukuma inatokea katika jamiii ipi au wenyewe wasukuma original wanatokea sehemu gani
Inchwankima inapatikana Chato karibu Na kachwamba maeneo kule aliko zaliwa waziri Wa nishati Medard KalemaniKuna Kijiji kimoja nilienda kinaitwa Inchwankima[emoji1] [emoji1]
Aisee Wazinza, Wasumbwa, Watusi na Wakonongo sio Wasukuma hata kidogo. Hata hatuelewani nao kabisaaaaaaa. Sisi tunaelewana kwa rafudhi zetu ambazo zinampambanua huyu mnyantuzu, Mnang'wagala au mnasukuma. Lakini kamwe hatubaguani kama wachaga ndomana hiyo tofauti ya usukuman wengi hawaielew ila sisi tunaelewanaKwa wale wadau ambao mshawahi kuishi na kukaa usukumani mtakuwa mnatambua ndani ya usukuma kuna jamii karibia tano na wote wanajiita wasukuma
Lakini ndani ya usukuma wenyewe kwa wenyewe wamekuwa wakibaguana ya kutokana na asili ya walipotokea kwa mfano zipo jamii ambazo zinasadikika walitokea zambia,rwanda,burundi,congo, uganda zilikuja kuishi maeneo ya tabora, mwanza,geita,shinyanga wanajiita wasukuma lakini inasemekana sio wasukuma.
Kwa mfano ndani ya usukuma kuna jamii kama vile wazinza,wasubwa,wadakawa, wanyatuzu,wakonondogo,watusiyoo n.k na kila jamiii ina historia yake ni wapi walipotokea ila wengi wakiwa mijini wanajiita wasukuma lakini wakirudi makwao wanabaguana kuwa sisi wasukuma wale sio wasukuma.
Hebu tusaidiane ivi msukuma asili au asili ya msukuma inatokea katika jamiii ipi au wenyewe wasukuma original wanatokea sehemu gani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Asili yao ni marekani jimbo la Guangzhou