Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

Ulichosema ni kweli kabisa historia yangu inaniambia msukuma alihana kutoka Kaskazini Mashariki mwa Cameroun na kuja mpaka kufika huku
 
Wasukuma wapo wa wadakama, wasukuma wakeya na waghweli hao wengine sio
 
Ndio maana tunaambiwa tunabaguana,sengerema na geita wanakaa akina nani?
Amejisahau tu kuandika ila wasukuma walikuwa na tabia ya kuhama toka mashariki(Mwanza&Shinyanga) kwa sababu ya ukame na kwenda magharibi(Sengerema,Bukombe na Geita) palipokuwa na mvua na rutuba
 
Lkn hao wakamba asili yao kabisa walitokea Kenya
 
Mkuu wasukuma tumetoka ethiopia acha kubisha na kukataa tatizo lenu nyie wachaga mna wivu sana wakati nyie origin yenu ni hapo rombo mpakan na kenya
 
Sasa bas kijana kutoka rombo ebhu twambie wewe kuwa wasukuma ni watu kutoka wapi?

Maana dunian hadi mbingun inajulikana kuwa wasukuma tumetoka ethiopia alafu wewe mrombo unakuja hapa umelewa mbege na tumiguu twako twa milonjo kama spoku unaaza kupinga na kutafuta ligi zisizokuwa na maana
 
Hahahahaaaaa mkuuu mbona inakuuma sana wasukuma kutokea ethiopia shida iko wapi lakin kiongoz mtanzania mwenzetu

Wasukuma safari haijaanzia ethiopia tu sisi ni wafugaji ndugu yangu inawezekana labda babu zetu walitokea nigeria wakaja wakatua ethiopia hata kwa miaka kumi then wakalianzisha either kwa kufaata marisho, vita au njaa hadi wakaja wakajikuta wako KWIMBA maana hiyo wilaya ndo origin yote ilipo hata akina mwana malunde ni watu wa kwimba
 
Wasukuma asili yao ni bonde la msitu wa Kongo. Haya ya ng' weli, Kiya, dakhama, sukuma, nk ni mtawanyiko tu.
 
Kiongozi wasukuma wanabaguana sana haswa wakiwa makwao usukumani ila wakiwa hapa dar na maeneo mengine wote wanajuana kama wasukuma.

Ila ukienda usukamani wasukuma ni kweli wanabaguana kutokana lugha na chimbuko lao halisiaaaa kwa mfano

Eneo la kahama,geita kuna watu wanaitwa wasubwa .

Bariadi unakuta kuna mnyatuzuuu

Misenyi,mwaza unakuta wadakama

Ukienda sijui koromoje,chato unakuta kuna kabila lingine wanajitaa wazinza

Na wote wakiwa mjini wanajiita wasukuma
Lakini ukienda usukumani utasikia mara

Ohooo wale ni wanyatuzuu mara ohoo wale wadakama mara ohooo wale sijui
na ukiulizaa wazee wa pale ukiuliza utasikia wale wahamiaji yaani mpka leo hujui mara ohoo wanyatuzu sijui wametoka rwanda,mara sijui wadakama wale ni waganda yaani kila jamiii ina sehemu yake ilipotokea ndo maana niksuliza ivi msukuma original anatokea jamiii ipi au wapi
 
Wasubwa,wazinza,wakala,wakerewe,nk hii jamiii siyo ya kisukuma kabisa japo imejipenyeza kimakazi usukumani
Bhujikhu ngwakha.
 
Aba missungwi tumanyhe aha, kwandeja busagara, bukirigulu, mapilonga, ng'wanangwa, misasi, seke, kijima, buhingo, busongo, nyasamba, mbarika, manawa, nyamle, ng'wabaraturu, ne mitindo, ng'wabuke, koromije,
Nene misungwi - mbela
 
Mkuu wasukuma tumetoka ethiopia acha kubisha na kukataa tatizo lenu nyie wachaga mna wivu sana wakati nyie origin yenu ni hapo rombo mpakan na kenya


Acha kujidanganya...sisi wabantu wote origin yetu west africa!

Wenye connection na horners na ni supported na dna studies ni iraqws,maasai,jaluo,barbaig,mang'ati,sandawi,etc..wote hawa wapo kwenye ukanda wa bonde la ufa...sisi wengine wote ni bantus....tena heri hata chagga tena waseme wametoka horn kutokana na close proximity,sukuma mpo karibu na congo kabisa ni bantu 100%!


Tupeni official paper ya study ku-support your funny claims!

Hapo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…