shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,901
Bachangamfu/ bhachangamkuBasukuma tuli bachangamfu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bachangamfu/ bhachangamkuBasukuma tuli bachangamfu
Ulichosema ni kweli kabisa historia yangu inaniambia msukuma alihana kutoka Kaskazini Mashariki mwa Cameroun na kuja mpaka kufika hukuNi maajabu kila jamii inasema imeanzia Ethiopia!
Ni ujinga wa hali ya juu.Wabantu hawapo Ethiopia,walianzia Eastern parts of Cameroon,Congo na Nigeria wakaanza ku-migrate huku.Hebu rudini shule msome Bantu Migration!
Ni maajabu na kweli kila kabila,sio Wachaga,Waarusha,Wameru,Watutsi,Wahaya,etc,kila mmoja anadai walitokea Ethiopia!Kenya karibu makabila yote wanadai walitokea Ethiopia,kama Kikuyu (bantu),Luhya (Bantu),Meru (Bantu),Kamba(bantu),etc...wakati wote hawa ni Wabantu walitoka West Africa,hawana uhusiano wowote na Ethiopia.
Hivi kwanini hivi vikabila vyetu vya kibantu vinapenda kujisogeza kwa makabila ya Afro-asiatics?Kila mtu anajisogeza na Somalis,mara Ethiopia,mara Djibout,Waisraeli,etc...ukoloni,ukoloni mtupu!
Kule ni wahaya wakimbizi, wanaitwa wazinza, yeye ameuliza kitovu cha wasukumaNdio maana tunaambiwa tunabaguana,sengerema na geita wanakaa akina nani?
Amejisahau tu kuandika ila wasukuma walikuwa na tabia ya kuhama toka mashariki(Mwanza&Shinyanga) kwa sababu ya ukame na kwenda magharibi(Sengerema,Bukombe na Geita) palipokuwa na mvua na rutubaNdio maana tunaambiwa tunabaguana,sengerema na geita wanakaa akina nani?
Lkn hao wakamba asili yao kabisa walitokea KenyaMkuu huo mlima naufaham na nilisha utembele unaanzia maeneo ya kalibia kanegere unaelekea mega,mpaka mwaningi na unaenda kuishia msalala kama sijakosea na kuna sehem wanachimba dhahabu mkanda wa mwakitolyo na yale mawe yakuogea wanayoyauza sehem nyingi wanayatolea kule.
LYANDI LYA BHALOHA(TUTA LA BALOHA) hili ndio jina lake kwa jina letu la kisukuma na lilipatikana kutokana na umbile la mlima huu upo kama LYANDI (TUTA) na jamii walio kua wakiishi maeneo hayo (bhaloha) .
Na kwa upande wa hii Enkamba ni watu ambao walikuwa jini ya utawala Nkamba na hii jamii ilikua ya wahuzi wa vyuma kama majembe (haya yanapatikana kwa sasa kwa waganga wakienyeji kwa wingi) ,shoka ,mapanga,njuga,n.k mpaka saiv jamii ya hawa watu bado wanajihusisha na uhuz wanayusha chuma na kuanda kitu kingine mifano mikuki,njuga,shoka,visu n.k
Mkuu wasukuma tumetoka ethiopia acha kubisha na kukataa tatizo lenu nyie wachaga mna wivu sana wakati nyie origin yenu ni hapo rombo mpakan na kenyaNapinga kabisa...Ethiopians hermites are the oldest kuliko bantu,just next to khoisans...
Sasa wewe mbantu umetokea wapi horn of Africa?
Wewe negroid motherfucken bantu umetokana watu na afro asiatics?Acheni kulamba watu matako namna hii!
Wabantu wote tumetoka west africa,story ya ethiopia ni myth!
Nipe academic paper to support your outlandish claim!
Sasa bas kijana kutoka rombo ebhu twambie wewe kuwa wasukuma ni watu kutoka wapi?Unakimbia kujificha!
Face off hoja mezani acha kujipa cheo cha medical practitioner kunipa ushauri kumuona doctor,ili walao kujua una mandate hiyo attach cheti chako hapa!
Ni maajabu leo umejigeuza mtoa ushauri wa kitabibu!Stick to your job acha kuvamia fani za watu.Inaonesha upo desperate on something!
Hahahahaaaaa mkuuu mbona inakuuma sana wasukuma kutokea ethiopia shida iko wapi lakin kiongoz mtanzania mwenzetuNaona umeenda kwenye rant ya kujifanya life coach!Wewe mwanadamu mwenzangu unanifundishaje jinsi ya kuishi?Who are u?
Na pia huwezi nipangia maswali ya kuuliza!Maswali uulizwe halafu upange uulizwe yepi?Kwanza right questions kwa mujibu wa nani?Wewe?Pleaseee!
Northerners ya wapi?With reference to wapi?Eti Northerners,ya wapi?Ushahidi wako wa jina la Sukuma eti ndio ushahidi mnatoka Ethiopia?Try again!
Bujora is rubbish!Hakuna any research proven...Bujora ni museum with no any scientific evidence kua mnatokea Ethiopia.Kuna andiko lolote proven?Hakuna!
Kujibu kunya hakukusaidii chochote ku-prove Sukuma ina originate from Ethiopia.Tangu lini Bantu people waka-originate from Horn of Africa kama sio ukichaa wenu?
Wasukuma asili yao ni bonde la msitu wa Kongo. Haya ya ng' weli, Kiya, dakhama, sukuma, nk ni mtawanyiko tu.Kwa wale wadau ambao mshawahi kuishi na kukaa usukumani mtakuwa mnatambua ndani ya usukuma kuna jamii karibia tano na wote wanajiita wasukuma
Lakini ndani ya usukuma wenyewe kwa wenyewe wamekuwa wakibaguana ya kutokana na asili ya walipotokea kwa mfano zipo jamii ambazo zinasadikika walitokea zambia,rwanda,burundi,congo, uganda zilikuja kuishi maeneo ya tabora, mwanza,geita,shinyanga wanajiita wasukuma lakini inasemekana sio wasukuma.
Kwa mfano ndani ya usukuma kuna jamii kama vile wazinza,wasubwa,wadakawa, wanyatuzu,wakonondogo,watusiyoo n.k na kila jamiii ina historia yake ni wapi walipotokea ila wengi wakiwa mijini wanajiita wasukuma lakini wakirudi makwao wanabaguana kuwa sisi wasukuma wale sio wasukuma.
Hebu tusaidiane ivi msukuma asili au asili ya msukuma inatokea katika jamiii ipi au wenyewe wasukuma original wanatokea sehemu gani
Kiongozi wasukuma wanabaguana sana haswa wakiwa makwao usukumani ila wakiwa hapa dar na maeneo mengine wote wanajuana kama wasukuma.Nani kakwambia wazinza,wasumbwa,wakonongo ni wassukuma??? Kwa huku kwetu tuna Bhanantunzu,bhadakama(wanyamwezi), Bhanang'wagala, Bhasumabhu na Bhanabhulima ndio hao wanaform kabila la WASUKUMA ambapo kuna wengine huwagawa kwa pande kuu nne za dunia.
Na kwa nyongeza tu hatujawahi kubaguana hata siku moja siye tukikutana na kujuana tunaanza na kubonga kikwetu iwe ndan ama nje ya mikoa tunayopatikana kwa wingi .
Wasubwa,wazinza,wakala,wakerewe,nk hii jamiii siyo ya kisukuma kabisa japo imejipenyeza kimakazi usukumaniKiongozi wasukuma wanabaguana sana haswa wakiwa makwao usukumani ila wakiwa hapa dar na maeneo mengine wote wanajuana kama wasukuma.
Ila ukienda usukamani wasukuma ni kweli wanabaguana kutokana lugha na chimbuko lao halisiaaaa kwa mfano
Eneo la kahama,geita kuna watu wanaitwa wasubwa .
Bariadi unakuta kuna mnyatuzuuu
Misenyi,mwaza unakuta wadakama
Ukienda sijui koromoje,chato unakuta kuna kabila lingine wanajitaa wazinza
Na wote wakiwa mjini wanajiita wasukuma
Lakini ukienda usukumani utasikia mara
Ohooo wale ni wanyatuzuu mara ohoo wale wadakama mara ohooo wale sijui
na ukiulizaa wazee wa pale ukiuliza utasikia wale wahamiaji yaani mpka leo hujui mara ohoo wanyatuzu sijui wametoka rwanda,mara sijui wadakama wale ni waganda yaani kila jamiii ina sehemu yake ilipotokea ndo maana niksuliza ivi msukuma original anatokea jamiii ipi au wapi
Nene misungwi - mbelaAba missungwi tumanyhe aha, kwandeja busagara, bukirigulu, mapilonga, ng'wanangwa, misasi, seke, kijima, buhingo, busongo, nyasamba, mbarika, manawa, nyamle, ng'wabaraturu, ne mitindo, ng'wabuke, koromije,
Mkuu wasukuma tumetoka ethiopia acha kubisha na kukataa tatizo lenu nyie wachaga mna wivu sana wakati nyie origin yenu ni hapo rombo mpakan na kenya