DOKEZO Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Braba
Kuna mradi wq DMDP phase two watajenga barabara ya msumi kilometa 9.08 . Ujenzi unaanza mwezi wa saba. Kipindi wanatangaza zabuni ili mkandarasi apatikane. Tembelea page ya mkuu wa mkoa you tube autakuta kafafanua barabara ambazo zitapitiwa lami
Ya Mpigi magohe itajengwa pia kwenye huo mradi ?!
 
Kura anapiga yeye?
 
Mbona ujasema wamejenga wenye vipato, msumi hakuna shule wazazi wanapeleka shule watoto na magari yao, msumi hakuna maji watu wamechimba visima vyao, msumi hakuna zahanaati kwa sababu wakazi wa uko wana vipato vyao siyo issue kwenda hospital
Uko sahihi...vidole havilingani.....pia kuna nyakati ngumu maishani safarini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mradi wq DMDP phase two watajenga barabara ya msumi kilometa 9.08 . Ujenzi unaanza mwezi wa saba. Kipindi wanatangaza zabuni ili mkandarasi apatikane. Tembelea page ya mkuu wa mkoa you tube autakuta kafafanua barabara ambazo zitapitiwa lami
Mkuu hii nchi ni mabingwa wa blah blah.....kinachotakiwa ni barabara....hayo ya km...mkandarasi....DMDP....zabuni na blah blah zingine za you tube....ni usanii..

TRUST ME 👍
 
Naomba uscreenshot hiyo sehemu inayosema kuwa Mpiji kuna kaya laki moja.

Yaani wewe utumie hiyo map,nahisi ina mambo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…