DOKEZO Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

DOKEZO Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yaani siku ya pili kukaa Msumi ndio niliamini kuna madalali wanatumia dawa unajikuta umepanga maana nilijuuliza hivi zilikuwa akili zangu kweli kupanga huku 😳😁😁
πŸ˜‚ naam we ujui service charge ni tamu lazima dawa ihusike, yani wewe kweli wa kupanga msumi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Goba hukuiona si bora hata ungeenda kifuru.
 
Hawa jamaa wananifurahisha sana. Ukiwakuta pale Mbezi wao huwa wanasimama kwenye mstari ulionyooka wakisubiri daladala za kwenda kwao.. Hata kama hakuna daladala ila wao lazima wasimame katika msitari. Siku ya kwanza nilipowaona nilidhani wamerogwa.. Maana si tabia za watu wa Dar hizi..
Msumi na mpiji Magoe utadhani wapo Kibiti
 
Hawa jamaa wananifurahisha sana. Ukiwakuta pale Mbezi wao huwa wanasimama kwenye mstari ulionyooka wakisubiri daladala za kwenda kwao.. Hata kama hakuna daladala ila wao lazima wasimame katika msitari. Siku ya kwanza nilipowaona nilidhani wamerogwa.. Maana si tabia za watu wa Dar hizi..
Naona kuna mchanganyiko wa wakaazi wastaarabu......na ndio kisa na maaana wanasahaulika.
 
Lakini si inaitwa "Mbezi msumi".. Au mpaka wa Dar na mkoa wa pwani katika morogoro road unaanzia wapi maana binafsi hata kibamba huwa naijumuisha mkoa wa Dar
Haka huko mkuranga kuna mbezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa jamaa wananifurahisha sana. Ukiwakuta pale Mbezi wao huwa wanasimama kwenye mstari ulionyooka wakisubiri daladala za kwenda kwao.. Hata kama hakuna daladala ila wao lazima wasimame katika msitari. Siku ya kwanza nilipowaona nilidhani wamerogwa.. Maana si tabia za watu wa Dar hizi..
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kupanga huko mwanzo mwa 2001
Halaf unakuta akina Intelligent businessman wanapata guts za kukutongoza wakat mtu ulishaanza kupambana na kodi toka mwaka 2001!! We intell wewe achaga utukutu wako mdogo angu πŸ˜‚. Ww 2001 bado unatumia vibagadu kujifunza kutembea dede maana hakuna baby walker enz hizo.
 
Back
Top Bottom