Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHistoria haidanganyi....unawajua wakazi wa mwanzoni wa Msumi, ndio wale wale wa Mbagala !!!!
Halafu huku chini wanadai mbunge anatia aibu CCM halafu wakati huo huo wanamsifia ati mganga wake ni mzuri.Misumi ,msakuzi,mpiji na makabe kote huko hakuna maji,hospitali Kuna kizahanati tu na barabara ndiyo balaaa yaani makorongo Kwa kwenda mbele lakini yule mbuge wao Kila kuchangia anasifu rais kwa kazi nzuri kiasi kwamba akiwa karibu unaweza kuzaba Kofi.
2001 !Niliwahi kupanga huko mwanzo mwa 2001 niliacha kodi sehemu ni ya ajabu sijapata kuona alaaniwe yule dadali mwongo🤨
Huamini mkuu😁😁😁Nuzulati bwana🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntajitahidi niende nkajionee, maana napasikia tyuu.Nenda siku katembee ujionee ajabu la Tanzania [emoji16][emoji16][emoji16]
Mpaka ni mtoto mpiji ukiwa mpiji magpie ni jimbo la kikamba ukiwa kidimu ndio mkoa wa pwaniLakini si inaitwa "Mbezi msumi".. Au mpaka wa Dar na mkoa wa pwani katika morogoro road unaanzia wapi maana binafsi hata kibamba huwa naijumuisha mkoa wa Dar
Uko sahihi mkuu kwa kuwatia moyo watu wa MsumiKwa watu wanaojua nini wanafanya hawawezi ongea mambo ya kijinga kama discussion zilizomo humu ndani.
Vijana wengi wa kileo huwa wanafuata umeme na maji na barabara. Then wanaenda kuweka makazi kwenye 20×20 . Huu ni ujinga kwa watu wanaojielewa.
Watu wengi waliowahi maeneo msumi wamejenga kwenye maeneo yenye ukubwa wa sqm 2500. Manake nini, ardhi ya DSM inapanda thamani kila siku. SLOGAN ni hamia sehemu mji ndo ukufuate.
Usifuate mji. Wajanja wamenunua maeneo wamejenga hardware viwanda vya tofali nk. We kaanzishe kiwanda cha tofali sinza.
Kwa hizi akili za kufuata lami na maji ya bomba sijui kwenye suala la ardhi tutawaachia nini watoto wetu.
Kumbuka tabata ilikuwa pori na wengine waliogopa kununua kwani waliamini yalikuwa makazi ya wanyama wakali kama simba. Kunawazee wakikumbuka ujinga waliofanya wanalia machozi.
Uzi huu utunzwe vizuri kunawatu baada ya miaka 10 tu watalia machozi. Nami ngoja nikatafute eneo msumi litanifaa baadae
Ndio Yule Boya muuza Mayai kajenga huko 🤣🤣Sio kweli! Hiko wilaya ya ubungo. Unapandia mbezi mwisho unavuka barabara ya morogoro Road unaelekea hukoo ndani kasikazini ya goba! Kule kule kumejazana wabongo wachovu bila shaka! Ukifika mbezi mwisho utawaonea huruma walivyojipanga foleni wakisubiri migari yao michovu kama vile mibasi iliyokataliwa michakavu ndo inaendaga msumi/misumi
Natamani siku CCM watakavyokuja kuomba kura za serikali za mitaa, kmmae zaoNdio Yule Boya muuza Mayai kajenga huko 🤣🤣
Sio kweli, 2001 kuhuwa na umri wa kupanga chumba, vibinti vidogo tu..🤣we sema 2021 mama!Huamini mkuu😁😁😁
Una nifahamu mkuu 🤔Sio kweli, 2001 kuhuwa na umri wa kupanga chumba, vibinti vidogo tu..🤣we sema 2021 mama!
Hapana sikufahamu mama, sema naona 2001 ni zamani sana. Anyway, tuyaache.Una nifahamu mkuu 🤔
Sawa,wajenge kimpangilio basiKwa watu wanaojua nini wanafanya hawawezi ongea mambo ya kijinga kama discussion zilizomo humu ndani.
Vijana wengi wa kileo huwa wanafuata umeme na maji na barabara. Then wanaenda kuweka makazi kwenye 20×20 . Huu ni ujinga kwa watu wanaojielewa.
Watu wengi waliowahi maeneo msumi wamejenga kwenye maeneo yenye ukubwa wa sqm 2500. Manake nini, ardhi ya DSM inapanda thamani kila siku. SLOGAN ni hamia sehemu mji ndo ukufuate.
Usifuate mji. Wajanja wamenunua maeneo wamejenga hardware viwanda vya tofali nk. We kaanzishe kiwanda cha tofali sinza.
Kwa hizi akili za kufuata lami na maji ya bomba sijui kwenye suala la ardhi tutawaachia nini watoto wetu.
Kumbuka tabata ilikuwa pori na wengine waliogopa kununua kwani waliamini yalikuwa makazi ya wanyama wakali kama simba. Kunawazee wakikumbuka ujinga waliofanya wanalia machozi.
Uzi huu utunzwe vizuri kunawatu baada ya miaka 10 tu watalia machozi. Nami ngoja nikatafute eneo msumi litanifaa baadae
Sawa ,vp miundo mbinu iko mwakeWakazi wa Msumi tujuane tafadhali!
Nimeishi huko mwaka wa 6 Sasa sijawahi jutia,..!!
Hivi mlitegemea serikali iweke maji kwenye ngedere,ijenge Barabara pasi watu kuwepo?
Punguzeni kukatisha Tamaa watu,Kuna jambo ukiliongelea watu tunajiuliza uwezo wako wa kufikiri.
Nimezaliwa kimara,hapakuwa na maji Wala Barabara baada ya muda tukapata.
Vivyo hivyo,sinza k/Koo,tabata,ubungo nk.
Hatuwezi kulala na kuamka kukuta Kila eneo Lina maji na Barabara bila kusahau umeme,MAENDELEO HATA YA NYUMBANI KWAKO HAYAJI KWA SIKU MOJA!
Hakuna mpangilio wa kimakaziKwa watu wanaojua nini wanafanya hawawezi ongea mambo ya kijinga kama discussion zilizomo humu ndani.
Vijana wengi wa kileo huwa wanafuata umeme na maji na barabara. Then wanaenda kuweka makazi kwenye 20×20 . Huu ni ujinga kwa watu wanaojielewa.
Watu wengi waliowahi maeneo msumi wamejenga kwenye maeneo yenye ukubwa wa sqm 2500. Manake nini, ardhi ya DSM inapanda thamani kila siku. SLOGAN ni hamia sehemu mji ndo ukufuate.
Usifuate mji. Wajanja wamenunua maeneo wamejenga hardware viwanda vya tofali nk. We kaanzishe kiwanda cha tofali sinza.
Kwa hizi akili za kufuata lami na maji ya bomba sijui kwenye suala la ardhi tutawaachia nini watoto wetu.
Kumbuka tabata ilikuwa pori na wengine waliogopa kununua kwani waliamini yalikuwa makazi ya wanyama wakali kama simba. Kunawazee wakikumbuka ujinga waliofanya wanalia machozi.
Uzi huu utunzwe vizuri kunawatu baada ya miaka 10 tu watalia machozi. Nami ngoja nikatafute eneo msumi litanifaa baadae
Ndy uende na msakuzi huko sjui kwa lipelanya kwa rubaba huko 😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntajitahidi niende nkajionee, maana napasikia tyuu.