DOKEZO Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwenzetu unapangaga foleni kusubiri gari la kwenda Msumi. ?
 
Y not,.ukinikuta na hii mvua inavyonyesha utanionea huruma.😜
Hata mimi hivyo hivyo na nikibahatisha siti pamoja na ubovu wa barabara....lazima nivute usingizi nasikiliziia vituo mara Mwanza...Tabata...kwa Bundala....Kavembelwa....kwa Kiroboto....Mfenesini....kwa Mjumbe...Uwanjani duuuh ila Msumi RAHA. 👍
 
Ile lami waliyoweka katikati ya vumbi na vumbi majuzi january walirudi wakisema wanaiendeleza uelekeo wa kwenda Msakuzi wamechonga barabara mpaka pale njia panda Makabe ila mkandarasi au sijui ndiyo tanroad ana ugomvi na dawasa na tanesco.

Kwamba mmoja ahamishe nguzo mwengine ahamishe bomba miezi inasogea tu na mvua hizi barabara kule walikovuruga kunazidi kuharibika,usikate tamaa japo tunacheleweshwa lakini labda ipo siku kutakaa sawa
 
Kunafaa
Kunafaa tuje kufungua Dldm
 
Kura anapiga yeye?
Mkuu muelewe jamaa alichokueleza.

Kigogo yeyote wa CCM kinachomtisha yeye ni kamati teuzi ya chama chake tu akishapitishwa mpinzani atakaesimama nae atajua namna ya kupambana nae kwenye tume ya uchaguzi.
 
Msumi ,Msakuzi Mpiji magoe ni kama mkoani 😀😀Over and Out ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…