Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

Tengeneza juice nzuri za matunda uuze pamoja na viazi vitamu au mihogo hasa kwenye mashule ya sekondari au hata ukiuza maembe tu, yale yanayowekwa chumvi yenye pilipili, wanafunzi wengi, hasa wa kike wanayapenda sana
 
kama we ni mtoto wa kike unaweza kwenda pale mwenge stendi nunua vipodozi ns perfume kwa 20000 ili ung'ae uweze kuuzika, alafu 10000 inayobaki kaa pale ambiance unakula bia, trust me payback petiod

mawazo kama haya, bora tu yangelikuwa yanapigwa ban tu!
 
Tengeneza juice nzuri za matunda uuze pamoja na viazi vitamu au mihogo hasa kwenye mashule ya sekondari au hata ukiuza maembe tu, yale yanayowekwa chumvi yenye pilipili, wanafunzi wengi, hasa wa kike wanayapenda sana
Yap hakuna wateja wazuri kama wanafunzi wa shule hasa za msingi. Juisi na lamba lamba huwa zinauzika sana hasa kwa dar
 
Nenda kanunue ndizi mzuzu za elf 15 mafuta ya elf kumi na karatasi za kufunga...tengeneza crips za ndizi mzuzu...zinapendwa sana,kwa gharama.hizo ukifunga kwa vimfuko vya mia tano tano inatoa kama vya elf arobaini na tano hivi unakata gharama zako na hukosi kama elfu 15 kwa siku soko likiwa zuri.
 
anzisha biashara ya kuuza maji barid ya uhai! c unajua joto la dar ,mule mule kwenye folen mida ya sa 4 asubuh hadi sa 10 jion , unaondoka na faida hata ya ef 5000 kwa ef 30000 ya mtaj! ila jua litakuchoma sana, jion tayarisha panadol!
Hata kama yupo Arusha?
 
Nunua kuku wa kiyenyeji watatu, jogoo mmoja na tetea wawili kwa bei ya 10000 kwa kila kuku, hakikisha unawatunza vizuri, kuku mmoja hutaga mayai 15-20, ndani ya miezi 6 unaweza ukawa na kuku zaidi ya 40, kila kuku kwa sasa anauzwa elfu 20, apo utakuwa umesogea kidogo, KUMBUKA PESA NI SEHEMU NDOGO SANA YA MTAJI, CHA MUHIMU WAZO LAKO NDO MTAJI MKUBWA
 
mmmmh try something lie vocha maeneo yenye watu wengi wa maofisini na idadi ya maduka ni ndogo
 
Napenda kukutia moyo rafiki, elfu 30 ni pesa na unaweza kufanya biashara. usikatishwe tamaa na watu wasiopenda kusaidia wenzao. si lazima uanze biashara na mamilioni. nakusihi angalia unachoweza kufanya kwa ushauri uliotolewa na wenye busara huko juu. pia waweza enda kkoo kwenye maduka ya jumla ukanunua vitu kama socks, singlend, lesso, hata boxer ukawauzia hapo hapo ofisini na ikakulipa.
 
Hata biashara ya bidhaa ndogo ndogo za kutafuna tafuna kama pipi, bigiji, biskut inatosha sana kaka kwa kuanzia
 
Terryson & Malima
Tumewasiliana na tumeelewana
ASANTENI KWA USHIRIKIANO WENU
 
Karanga mbichi na za kukaanga unauza tafuta Kijana mmoja wq kukitembezea kitaa
 
Back
Top Bottom