Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uza mihogo ya kukaanga,bigG,karanga,chapat
kama we ni mtoto wa kike unaweza kwenda pale mwenge stendi nunua vipodozi ns perfume kwa 20000 ili ung'ae uweze kuuzika, alafu 10000 inayobaki kaa pale ambiance unakula bia, trust me payback petiod
Yap hakuna wateja wazuri kama wanafunzi wa shule hasa za msingi. Juisi na lamba lamba huwa zinauzika sana hasa kwa darTengeneza juice nzuri za matunda uuze pamoja na viazi vitamu au mihogo hasa kwenye mashule ya sekondari au hata ukiuza maembe tu, yale yanayowekwa chumvi yenye pilipili, wanafunzi wengi, hasa wa kike wanayapenda sana
Hata kama yupo Arusha?anzisha biashara ya kuuza maji barid ya uhai! c unajua joto la dar ,mule mule kwenye folen mida ya sa 4 asubuh hadi sa 10 jion , unaondoka na faida hata ya ef 5000 kwa ef 30000 ya mtaj! ila jua litakuchoma sana, jion tayarisha panadol!
Wakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?[/
Tafuta kimwana ule uloda
inawezekana sheria ya pesa ni moja haijarishi una mtaji wa mil 5 au elfu 30 mapato yasizidi matumizi.
aliye serious na ana 30,000/= tu sasa afanye kwa vitendo na si maneno
Kama we ni mtoto wa kike unaweza kwenda pale Mwenge stendi nunua vipodozi ns perfume kwa 20000 ili ung'ae uweze kuuzika, alafu 10000 inayobaki kaa pale ambiance unakula bia, trust me payback petiod