Hivi mtandao wa telegram bado umefungiwa Tanzania au vipi? Maana muda sana siupati! Kulikoni?

Nadhan inabidi utumie vpn mkuu, ni mda sasa huwezi ku access telegram bila vpn
 
Back
Top Bottom