Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

Hahahahah..ww jamaa noma..umesoma university ya English Medium..hahahaha
 
Hahahahah..ww jamaa noma..umesoma university ya English Medium..hahahaha
Ahahahhaha! Wahaya education system yetu ni unique sana hapa East Africa.

Hadi university tuna soma medium.. Achana na yule elimu hafifu....!
 
Shughulikia malezi ya watoto wako wa wenzio achana nao..kila mtu ana uhuru wake wa kuishi anavyotaka..
Watoto ni wa jamii sio wako peke yako!!! asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu tek that to the bank.
 
Ndiyo hao napishana nao kwenye elevators na vibabu vya kidhungu!
Kaaazi kweli kweli
 
Mbona sioni tatizo lake huyo???? Em mwangalie mtoto wa Smith ndo ujue kuwa hao maisha safi na shule iko kichwani.si unaona yuko na vitu vya bei vya kutengeneza mtonyo.kama ungekuwa unamjua apo sawa.kumbuka hiyo ni biashara na tatooo za mda tu.
 
Picha ya tatu kutoka juu anajivunia chura!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
hayo manywele tu ndo yanakataga mzuka, mengine atajua yeye
 
Watoto ni wa jamii sio wako peke yako!!! asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu tek that to the bank.
Hao ni mawazo ya kwetu Africa,lakini nchi nyengine hasa za Ulaya,watu hawana mawazo kama hayo
 
Wazazi anao ndiyo, hajashushwa kutoka juu, amezaliwa...

Alafu tabia ya mtoto na makuzi yake yanaanzaia kwenye familia aliyokuziwa...

To much freedom is harmful...


Cc: mahondaw
 

Hayo macho ya bluu kayatoa wapi? Ana macho mazuri.
 
Fata mambo yako dunia saivi imebadilika kama sio ndugu yako basi hata atembee na Bikini muache tu mana wanao muhusu hawana time nae sembuse wewe mtu baki, Wadada wa town wanasema Usiwapangie maisha basi sisi wakoromijie tunawapimia tu tukivuna viazi tunakuja kuwakunguta show za hatari mana dar tena haina watu wa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…