Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

Hapana. Thamani ya mwanamke siyo ngono peke yake. Kuna muda mnakaa tu na kupiga story na kubond. Watch a movie that you like together. Do something that you enjoy. Msaidie kupika. Laugh. Enjoy. Tanianeni. Huwa inasaidia Sana hasa kama mna malengo yanayoeleweka. Ila Kama ngono ndiyo kitu pekee kinachowaunganisha basi ni show show ng'wanawane. Ndo yale akikosea akaja kwako wakati yupo kwenye siku zake unamtimua maana hana thamani nyingine kwako eeh!?

Bonding hii ninayoisema hapa huwa ni muhimu sana katika hatua za kufahamiana vyema. Ila pia inafanya vyema Kama binti mwenyewe anajitambua thamani yake na siyo selfish!
 
Hapana. Thamani ya mwanamke siyo Ngono peke yake. Kuna muda mnakaa tu na kupiga story na kubond. Watch a movie that you like together. Do something that you enjoy. Msaidie kupika. Laugh. Enjoy. Tanianeni. Huwa inasaidia Sana hasa kama mna malengo yanayoeleweka. Ila Kama ngono ndiyo kitu pekee kinachowaunganisha basi ni show show ng'wanawane. Ndo yale akikosea akaja kwako wakati yupo kwenye siku zake unamtimua maana hana thamani nyingine kwako eeh!?

Bonding hii ninayoisema hapa huwa ni muhimu sana katika hatua za kufahamiana vyema. Ila pia inafanya vyema Kama binti mwenyewe anajitambua thamani yake na siyo selfish!
Hakika mkuu umenena vyema... Ni kama vile umeingia kwenye akili yangu.
 

Attachments

  • Screenshot_20240817-001549.jpg
    Screenshot_20240817-001549.jpg
    9.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom