Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

Mambo vipi wakuu?

Binafsi naamini wakati wote Mrembo anapokuja ghettoni kwako si lazima Mjigijane...

Muda mwingine unaweza ukaishia kupiga nae Story tu..... au Mkacheki Muvi.... au Mkacheza video games....

Naamini ni kuonesha umekua kihisia hata kuongeza uaminifu kwa Mwenzako...

We unaonaje au ni mwendo wa kupeleka moto tu... 🔥🔥
Sasa amekuja Fanya mini?
 
Sasa amekuja Fanya mini?
Hapa namaanisha ile , mnaonana na mtu wako mara kwa mara ..

Sasa kuna time mnapiga kipindi siku mbili au tatu mfululizo...

Akija huwezi ukapumzika tu hiyo siku, unachapa tena mkuu?
 
Aisee hili nalo la kuanzishia uzi..
Fanya tafakari binafsi
 
Back
Top Bottom