Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

Mambo vipi wakuu?

Binafsi naamini wakati wote Mrembo anapokuja ghettoni kwako si lazima Mjigijane...

Muda mwingine unaweza ukaishia kupiga nae Story tu..... au Mkacheki Muvi.... au Mkacheza video games....

Naamini ni kuonesha umekua kihisia hata kuongeza uaminifu kwa Mwenzako...

We unaonaje au ni mwendo wa kupeleka moto tu... 🔥🔥
We unacheza naye video game wenzio wanacheza naye michezo ya mikasi shauri yako hawana formula angalia linalowezekana wakati huo
 
Mambo vipi wakuu?

Binafsi naamini wakati wote Mrembo anapokuja ghettoni kwako si lazima Mjigijane...

Muda mwingine unaweza ukaishia kupiga nae Story tu..... au Mkacheki Muvi.... au Mkacheza video games....

Naamini ni kuonesha umekua kihisia hata kuongeza uaminifu kwa Mwenzako...

We unaonaje au ni mwendo wa kupeleka moto tu... 🔥🔥
Kazi ni...
Acha ujinga wewe

Kama kaja anautaka mjegeje

Stori akapige na mashosti zake

moja tuu......
 
Back
Top Bottom