Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

Namna io,,acha uzembe kijana watakusaidia,,ukiona kaja ujue kautaka
Tuseme inategemea maybe wewe mnakutana kwa Mbinde sana kwahyo ukipata nafasi unaitumia..

Mfano mimi GF wangu yeye hana kazi .. Mara nyingi anakua Home!! Ukute sasa mimi niko Free wiki nzima , Kwahiyo lazima anitembelee kila siku...

Sasa sio lazima Tugigije kila siku japo Tusipoonana mda Mrefu may be Tatu kavu au Wiki hio hainaga kuremba...

Ila kwa kukutana Mfululizo Tunaweza tukaruka leo Then kesho Show show...

NB: Dont trust this Nishavuka hiyo stage 😁😁😁
 
Tuseme inategemea maybe wewe mnakutana kwa Mbinde sana kwahyo ukipata nafasi unaitumia..

Mfano mimi GF wangu yeye hana kazi .. Mara nyingi anakua Home!! Ukute sasa mimi niko Free wiki nzima , Kwahiyo lazima anitembelee kila siku...

Sasa sio lazima Tugigije kila siku japo Tusipoonana mda Mrefu may be Tatu kavu au Wiki hio hainaga kuremba...

Ila kwa kukutana Mfululizo Tunaweza tukaruka leo Then kesho Show show...
Sasa nayey kila siku anafata nini,,kama kufua na usafi siku mbili si zinatosha
 
Mambo vipi wakuu?

Binafsi naamini wakati wote Mrembo anapokuja ghettoni kwako si lazima Mjigijane...

Muda mwingine unaweza ukaishia kupiga nae Story tu..... au Mkacheki Muvi.... au Mkacheza video games....

Naamini ni kuonesha umekua kihisia hata kuongeza uaminifu kwa Mwenzako...

We unaonaje au ni mwendo wa kupeleka moto tu... 🔥🔥
Hii under 18 bila shaka.(kizazi cha fb)
 
Hii under 18 bila shaka.(kizazi cha fb)
Hiyo Fb nilifuta akaunti since 2015 mkuu... Usiamini kila kitu JF...

Infact nimeoa na nna watoto wawili kwa sasa..

Japo vitoto vya Elf2 vipo vingi sana humu JF siku hizi...
 
Back
Top Bottom