Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

Mambo vipi wakuu?

Binafsi naamini wakati wote Mrembo anapokuja ghettoni kwako si lazima Mjigijane...

Muda mwingine unaweza ukaishia kupiga nae Story tu..... au Mkacheki Muvi.... au Mkacheza video games....

Naamini ni kuonesha umekua kihisia hata kuongeza uaminifu kwa Mwenzako...

We unaonaje au ni mwendo wa kupeleka moto tu... 🔥🔥
Vyote vinawezekana...ila hata nao wanapotoka nyumbani wanajua Leo kinaenda kuumana
 
Ingekuwa wewe ndo unaamua tu sawa ila hisia ni mwanaharamu, Ndo maana maandiko yasema zambi zote tunaweza kuzishinda kwa kukemea/kusali ila uzinzi unakimbiwa blud
 
Back
Top Bottom