secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mtu akisema, "mimi kama mtu", huwa namwona kama siyo mtu vile bali anataka kujifananisha au anataka kuvaa viatu vya mtu πNi siasa tuu zimeharibu watu! Sisi kama serikali, sisi kama chama, sisi kama watendaji n.k
Njema sana mkuu. Ibada yako imeendaje?HABARI za ibada mkuu!
Aimen! (kwa sauti ya Mwamposa)Utasikia mimi kama ayatollah wa jf secretarybird
Hapa unajua kabisa huyu ni ayatollah wa mchongo
Anyway Bwana Yesu asifiwe mtumishi
Mimi nilimaliza jana mkuu!Njema sana mkuu. Ibada yako imeendaje?
Hongera sana mkuu. Sote mungu wetu ni mmoja.Mimi nilimaliza jana mkuu!
Nini kimetokea!Hongera sana mkuu. Sote mungu wetu ni mmoja.
Tumkatae kata kata yule muovu...Nini kimetokea!
(kwa sauti ya ....) baeleze baeleze... mkuu!
Aimen..... be blessed!Tumkatae kata kata yule muovu...
Hii kauli inachanganya sana, bora tu ipigwe marufuku.Ni kauli ya kusisitiza wajibu ama mamlaka aliyonayo...
Sawa na mtu aseme "kwa mamlaka niliyonayo ama wajibu nilionao "..
Mimi kama... π€
Nilimchukia baba yangu baada ya kuniambia, "Mimi kama baba yako nina wajibu wa kukupa adhabu ukikosea...", mimi nikadhani labda yeye si baba yangu wa kweli.
Leo asubuhi, baada ya simu yangu kulia kwa sauti ya juu kanisani, "mchungaji aliniambia, Mimi kama mchungaji toka kanisani...", mimi nikagoma nikidhani labda yeye si mchungaji kweli, amesimama tu pale mbele ya kanisa (kumbuka hapa niko ugenini, hapa Sumbawanga).
Neno 'kama' linanichanganganya sana wakuu hasa mtu anaposema, "Mimi kama mwanamke", au "mimi kama mwanaume". Mi naona bora mtu aseme, Mimi mchungaji wako, Mimi mwanaume n.k.
Mimi kama Mimi πMimi Kama Mtu naona hiyo kama isikuchanganye
Kabisa. Watu wanaitumia vibaya sana.Kama ni inatumika kufanya ulinganifu mbamizwa ndege
Kaka Supapawa ππππKama ni inatumika kufanya ulinganifu mbamizwa ndege